NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

..........World cup tena naisubiria kwa hamu..........kababy ndio kameanza kurusha rusha mateke kwa mbaliii. Pili pili nakula sana tu na candies kwa sana.

Ni furaha iliyoje kuyafeel mateke ya kiumbe kingine kinachokuwa ndani ya mwili wako. Unabaki kushukuru tu kwa Muumba wetu. Kila la heri.
 
welcome to the TD GARDEN.................
 
Speed waliyoanza nao Celtics si ya kawaida....duh!
 
Lakini madhara ya KG siyo makubwa sana ukilinganisha na madhara ya Ray Allen.
 
C's wameanza vizuri wakaona washashinda,saasa wana kamlima bahati yao ni 1st 1/4
 
Wakulu duru ya kwanza ndio imewadia.

It is sad kwamba between Miami and Celtics, one of them will not see the next round..Sad sad sad..

Ok, pesa yangu naiweka kwa mabingwa watetezi, wakishindwa sana Magic will be waiting for any slippery.

umekimbia baada ya kuhisi utabiri wako utakurudi......
 
Allen hawezi kupiga 3pts kila siku, leo wanaumizwa vibaya, Go LA
 
HT: LAL up by 12, je wataweza kuhimili kishindo mpaka robo ya mwisho?
 
3rd 1/4 itakuwa the most important 1/4 for C's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…