HT: LAL up by 12, je wataweza kuhimili kishindo mpaka robo ya mwisho?
Bet gani hiyo wakati series ishafika katikati? lolnitabet game ikiisha.........
Bet gani hiyo wakati series ishafika katikati? lol
Kwa series ilipofika habari ya homecourt kwangu mie naona kama its irrelevant..Ukicheza vibaya ubaruzwa tu regardlessly.mimi naamini hm court adv ambayo iko C's at the moment ingawa leo inaweza kuswing LA way
Walton is a big disappointment..His performance suggests he should remain on the bench.
Tons of missed shots..
Both teams are nervous, au labda wote wameongeza defense.by now LA walitakiwa wawe 20pts ahead au C's wame-tie,lakini wanakosa shots za wazi wote.................
Tons of missed shots..
by now LA walitakiwa wawe 20pts ahead au C's wame-tie,lakini wanakosa shots za wazi wote.................
Both teams are nervous, au labda wote wameongeza defense.
Ha ha ha, sasa mbona uliogopa ku-bet tangia mwanzo.. Celtics are well known-chokers kwene series ya mwaka huu..Pekua rekodi zako vizuri.6pts game,C's wanashinda game hii.........LA watachemka ikiwa tight 4th 1/4