NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

HT: LAL up by 12, je wataweza kuhimili kishindo mpaka robo ya mwisho?


12pts nyingi sana ukicheza na timu kama LA,inabidi wacheze BBALL ya juu sana kuchomoka leo......
 
gm2 ilikuwa rondo na allen.......leo ni gannett na rondo.......wengine wamekufa.....huwezi kushinda game kila siku na wachezaji wawili tu,only jordan was capable of that.
 
Walton is a big disappointment..His performance suggests he should remain on the bench.
 
mimi naamini hm court adv ambayo iko C's at the moment ingawa leo inaweza kuswing LA way
Kwa series ilipofika habari ya homecourt kwangu mie naona kama its irrelevant..Ukicheza vibaya ubaruzwa tu regardlessly.
 
6pts game,C's wanashinda game hii.........LA watachemka ikiwa tight 4th 1/4
 
3rd quarter, LAL up by 6 points, je, wataweza kuhimili mpaka mwisho? But naona bench la Cs limesaidia sana ukilinganisha starters wa Cs. Leo Allen naona yuko off kabisa.
 
6pts game,C's wanashinda game hii.........LA watachemka ikiwa tight 4th 1/4
Ha ha ha, sasa mbona uliogopa ku-bet tangia mwanzo.. Celtics are well known-chokers kwene series ya mwaka huu..Pekua rekodi zako vizuri.
 
LA wakipoteza hii game basi tena, huu uzembe sasa.
 
now we gonna have a proper 4th 1/4............................
 
WOW!....I thought this game was over...and here we're...a one point game
 
Bench la Celtics wanacheza vizuri zaidi ya la Lakers hii second half.
 
........mhh hili game kasheshe, hata sijui leo neema ipo upande gani...........mara ya kwanza nilifikiri LA lakini sasa naona celtics nao wanakuja juu.
 
Lots of people are just not performing today, hovyo kweli.
 
Back
Top Bottom