NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

Magic are still stuttering, with perfomance naanza kuondoa pesa yangu taratiiiiiib
 
Magic are still stuttering, with perfomance naanza kuondoa pesa yangu taratiiiiiib

Bora uchukue pesa yako mapema au utaishiwa kuliwa tu, labda wanasubiri quarter ya nne kama juzi:hurt:

 
Lewis hamna anachofanya..Nelson hamna kitu...Celtics sio kwamba wanakamua kinoma bali tu they are second worst to Magic in these 2 games.
 
Mwambie huyo mtani wetu maana ataudhika roho bure. Hii kitu Orlando wakicheza they will be
heading to Boston 2-zip!
Abuu bado muda upo, ila sioni wapi cheche ya kuwasha moto wa Magic utakapoanzia..Carter inaonekana kaumia na Reddick hajafurukuta kwa half a 2.
 
wasiingie 4th 1/4 trailing 10pts its gonna be 2-0
 
Mwambie huyo mtani wetu maana ataudhika roho bure. Hii kitu Orlando wakicheza they will be
heading to Boston 2-zip!

They have 12 minutes to go to prove if they belong to elite teams.
 
nelson,lewis,pietrus wote kama hawapo.....carter kaumia sasa watatokaje leo
 
Hii ndiyo NBA bana, maana timu zilizokuwa zinapewa nafasi ya juu kutwaa Ubingwa naona zinatolewa moja baada ya nyingine. Magic wakipoteza game zote 2 wajue ndo wameondoka, wakienda TD Garden wanaweza kushinda game moja tu.

Kuna mambo mengi, ama walijiamini sana kwa kuwa kwenye regular season walishinda games 3 kwa 1, lakini gap la points lilikuwa dogo sana na huwezi ku-conclude kwamba aliyeshinda games nyingi kwenye regular season ndo atashinda kwenye playoffs.

Timu walizokutana nazo kwenye round ya kwanza na ya pili, zilikuwa mayai. So walikuwa na over confidence kwamba Celtics akija wangembanjua. Pia kukaa wiki nzima inaweza kuwa ilichangia.

Ngoja tuone hii series itaishia wapi. But game ya leo inaweza kuamua kama itakuwa ni series ndefu ama fupi.
 
Back
Top Bottom