NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

Cleveland wali sema hatu watoi tuka watoa. Nadhani pia wewe ulisema whoever meets the Magic ata tolea sasa tuna wasumbua. Now you are saying Lakers wana tutoa finals? Haha naona tuna waprove watu wengi wrong.

Babu black mamba anatisha mwaka huu....halafu ana usongo sana na Celtics.....
 
Ngoma imelala, sijui kama Magic wataweza kuchomoka kutoka kwenye hilo shimo walilojichimbia wao wenyewe.
 
kwa mwendo huu sidhani kama hata lakers watatoka kwa celtics
 
Babu black mamba anatisha mwaka huu....halafu ana usongo sana na Celtics.....

Celtics wanakamia mkuu!!!wakiamua inabidi Lakers wagangamae kweli,by the way wana poor record against suns in play-offs,ngoja wapite ndio tuwafikirie
 
Babu black mamba anatisha mwaka huu....halafu ana usongo sana na Celtics.....

Kobe is arguably the second greatest player of all time in History.....I give him that. Lakini Celtics can win if they play the same way they played against Cleveland with arguably the best player in the world(until recently lol). One advantage I think Lakers have over Cleveland is that even if Kobe under performs he has a strong supporting cast behind him.
 
Celtics wanakamia mkuu!!!wakiamua inabidi Lakers wagangamae kweli,by the way wana poor record against suns in play-offs,ngoja wapite ndio tuwafikirie

Mkuu Lakers wata watoa Suns no doubt. The only way the Suns could have given themselves a chance is by gathering momentum by winning game one. Ila we are deep enough to take them out. I smell an eighteenth banner being lifted at the Garden.
 
kwa mwendo huu sidhani kama hata lakers watatoka kwa celtics

LAKERS kwa sasa wameanza ku-gain momentum KOBE amerudi,GASOL,LAMAR ODOM naye ameibuka
Itakuwa game kali sana
 
3.5 s...Magic on the brink of going down 2-0

Maumivu ya kichwa huanza polepole.Muangalieni Van Gundy.Anajua its a mountain to climb in Boston.

745fbeb293b7165985a298f1ae5582ac-getty-99171898cc078_boston_celtic.jpg

Back
Top Bottom