NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

Dah yani R. Rondo ana develop kuwa mchezaji hataru sana. Rondo is soon to be the best point guard in the NBA.
 
sijui Lakers watamdhibiti vipi huyu RONDO kwani so far cavs na magic wamechemsha........
 
hawa orlando kichapo wameshakubali wanasubiri mda uishe tu........watakuwa sweeped
 
Mhh..sikutegemea kaa Magic watakuwa this flat..lol
 
this is too embarassing,only 47pts after 3 qrtrs
 
Ha ha ha..duh obese Davis ndio leading scorer wa Celtix mpaka usawa huu..
 
hii ingekuwa boxing refa angesimamisha pambano.....
 
Hivi mme notice kwamba hawa Celtics wamezitoa timu mbili zilizokuwa na best record overall na second best kwenye Eastern conference? Who would've thought.....

Na mimi ngoja niunge tela na kusema bring LA....beat LA.....
 
Kimbembe kitakuwa kati ya Lakers na Celtic, nadhani Philly Jackson ataanza tena kampeni zake dhidi ya Rondo kuwa anabeba mpira kama alivyomfanya Steve Nash!.
 
.......Magic kwisha kabisa, mpambano hapa utakuja kuwa ni lakers na celtic na mshindi ni............LA
 
Hivi mme notice kwamba hawa Celtics wamezitoa timu mbili zilizokuwa na best record overall na second best kwenye Eastern conference? Who would've thought.....

Na mimi ngoja niunge tela na kusema bring LA....beat LA.....

hawa C's wanajituma effort yao ni 200% LAKERS kazi wanayo............
 
.......Magic kwisha kabisa, mpambano hapa utakuja kuwa ni lakers na celtic na mshindi ni............LA

haya mama usisahau LAKERS have to finish off SUNS................
 
Back
Top Bottom