NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

Orlando wakicheza hivi mechi zilizobaki wanaweza kuishangaza dunia....
 
Ila kwa maoni yangu Kobe bado anatisha....yaani presence yake tu inatisha....
 
kobe is bad news........he is closest human being to his airness,MJ

Agreed! And there will never be another MJ. This is how great MJ was....he is basketball's yardstick of greatness. Every good player now will always be compared to him.......that's when you know you're the shit
 
orlando hawawezi kurudi hata kwa dawa.japo kuwa wameshinda leo lakini walikuwa na turn over nyingi za kizembe mwisho mwisho mda ambao wlaitakiwa kuwa makini zaidi.
 
I forgive you,go in peace.
Mkuu , when Celtics went 3-0 up they were not beating the 'The best known Magic' , it was a shadow of Magic. Naamini bado kwamba Magic in terms of potential wanawazidi Celtics, ni basi tu sielewi nini kimetokea hapa katikati.
 
Huyu Pierce vipi huyu...analeta uzuri kwenye sekunde za mwisho

Jamaa alitakiwa amalize game,kulikuwa hamna haja ya kwenda OT,hata hivyo i believe next game Celtic watashinda
 
Agreed! And there will never be another MJ. This is how great MJ was....he is basketball's yardstick of greatness. Every good player now will always be compared to him.......that's when you know you're the shit

That is very true...and on top of his greatness in Basketball he was and still a class act.
 
Mkuu , when Celtics went 3-0 up they were not beating the 'The best known Magic' , it was a shadow of Magic. Naamini bado kwamba Magic in terms of potential wanawazidi Celtics, ni basi tu sielewi nini kimetokea hapa katikati.

Mkuu kweli unawapenda MAGIC.honestly complacency ndio imewacost CELTICS watu wengi walijua hilo litatokea. apart from game 4,MAGIC were badly exposed,beaten inside-out,left-right.
Potential gani wanayo Magic?only Howard tu,Nelson sio tishio,Barnes ndio kabisa huwezi hata kujua kama anacheza,Carter hana jipya since 2001,Rashard Lewis can only hit wide open 3s ambazo hata mimi can do that all night,he cant attack the board.
Kesho ndio mwisho wao tena kwao.
 
Mkuu mi ni mpenzi wa kikapu tu, na kaa ilivo soka mara nyingi sishabikii timu bali individuals. Hivo bana Magic sio vile. Kiukweli wachezaji wengi wa Magic wako na potential, the team is younger than Celtics, Carter ingawa amezeeka lakini alikuwa fit kwene regular season, kuna huyu dogo Pietrus, alikuwa anachoma tatu pale zinapohitajika the most, JJ, Nelson, Gortat, Howard, etc. Lewis haieleweki what has happened to him, naona kuna watu walipin mediocrity ya timu kwake na ku-compare na paycheck kwene contract yake, wametimbanga kinyama. Lakini van Gundy sielewi aliweza vipi ku-pull sweepin's mbili na sasa timu inacrumble..Game 4 kweli SUperman kawatoa kaa Amare alivowatoa Suns game 3, all in all, I still somehow believe in Magic..lol
 
Back
Top Bottom