NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

Soon enough there'll be technicals thrown at fans too....:angry:
 
hahahaha! Nate Robinson kampngusa Superman! Lakini naona kama ni foul ile.
 
huyu howard anachezea wenzie hard fouls sana
 
Na wakicheza na hii intensity Ijumaa wanaweza kushinda

Nakubaliana nawe na rekodi yao ya ugenini ni nzuri sana...itabidi Celtics wangangamare hiyo Ijumaa au wataweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza NBA kuongoza playoffs series 3 nil na kupoteza series hiyo.
 
Umeanza sasa na wewe...kwa nini huyo seneta awe Republican? Lol

Lilikuwa ni dongo hilo kuelekezwa kwako wewe Republican. Naona November mtashinda kwa ushindi wa kishindo.
 
Watu wewe..naona wapenzi wa BC mioyo taraibu inaanza kupaa..
 
Posted by Sekou Smith
HANG TIME HEADQUARTERS – Kendrick Perkins is good to go for the Boston Celtics in Game 6 of the Eastern Conference finals.
The NBA announced that his second technical foul (with 36.1 seconds to play before halftime) has been rescinded, helping him avoid an automatic suspension and keeping him in uniform. It also upgraded Paul Pierce's foul in the fourth quarter from a personal foul to a Flagrant I foul.
As speculated here earlier today, there had to be some movement on at least one of Perkins' techs.
The only problem with that (for the Celtics) is Perkins now has to be on his very best behavior to avoid getting his next technical. If he slips up and gets one in Game 6 … Perkins just better not slip up again.
Now, this is the part where Magic (Lakers and Suns) fans chime in with the conspiracy theory chants.
We've discussed it, debated and agreed to disagree about it here at the hideout.
No conspiracy.
Source:NBA.COM

Kwa kweli kuhusu hili marefa walichemka sana na ilichangia kwa kiasi kikubwa CELTICS kupoteza mechi hii.
 
Watu wewe..naona wapenzi wa BC mioyo taraibu inaanza kupaa..

Ur right moyo wangu unaanza kupaa,when it comes to basketball i got no team but i just like the UNDERDOGS and in this case ni BC,kama ambavyo nashabikia PHX sababu ni UNDERDOGS kwa LAKERS.
 
Back
Top Bottom