NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

104b4c8306ac6bb288a455708508aa9c-getty-99302062rr014_phoenix_suns_.jpg

b5a320a337530df3b4aa7cafbc2f8e0f-getty-99302062rr012_phoenix_suns_.jpg

4063d9ad5b9820b38cd579b7d589fe84-getty-99302062rr013_phoenix_suns_.jpg

This year's western & eastern finals are really smoking hot..flames everywhere...every team is on its toes. Good for the game indeed.
 
This year's western & eastern finals are really smoking hot..flames everywhere...every team is on its toes. Good for the game indeed.

Hii ndiyo inatakiwa. Unajua games zikiwa dominated na team moja, hata morali wa kuangalia hizo games unapungua maana unaweza kujua mshindi ni nani. Mfano ni zile sweep Orlando kwa Hawks na Bobcats. Hata utamu wa kuangalia games haukuwepo tena. Lakini sasa kila mtu anasema game ijayo sijui nani atashinda.
 
Haya leo tuone kama C`s watamaliza kazi wakiwa nyumbani
 
game ya leo ni kama game 7,celtic akifungwa ndio basi hawezi kutoka amway na magic leo akifungwa tunajua maanake....
 
BC wakishikwa na panic attack tu imekula kwao.
 
Sidhani kama Celtics watafanya makosa ya kuwa timu ya kwanza katika NBA history ya kupoteza playoffs series after taking a 3-0 lead. In my opinion Orlando's season will be over in few hours.
 
Sidhani kama Celtics watafanya makosa ya kuwa timu ya kwanza katika NBA history ya kupoteza playoffs series after taking a 3-0 lead. In my opinion Orlando's season will be over in few hours.

jinsi walivyoanza unaweza kuwa right
 
MAGIC vipi leo?watupe game kama ya PHX jana
 
Magic leo wamerudi kwene hali yao ya kiwango duni
 
Lil' Nate amepewa 'mic' leo basi imekuwa tabu..lol
 
Back
Top Bottom