NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

You can't beat LA with too many turnovers and very few offensive and defensive rebounds.
 
You can't beat LA with too many turnovers and very few offensive and defensive rebounds.
Ni kweli.

Kutokuchukua rebounds za of na def. ndiko kulikowamaliza Suns, otherwise niliona kama Suns kidogo wangeweza kujitahidi kama Thunder..lakini haikua hivyo.
 
Hivi mbebabox yuko wapi, naona hataki kuingia anaogopa betting..he he he..
 
Na Mwanafalsafa anaibukaga tu baada BC kushinda..lol
 
Aaah mi basi tena sidhani Celtics kama watashinda hii series...
 
Refa anamezea foul on Kobe..very pathetic refereing.
 
Haya 13 pts game..soon it will be 20 pts game..he he he..
 
Leo point tatu tatu za Ray Allen zimekatwa, kwa hiyo mambo ni mazito kwa Celtics na Paul Pierce amebanwa vizuri sana na Ron Artest. Kinachotakiwa ni Ron Artest ku-avoid more fouls, maana dakika 12 ni nyingi sana.
 
20 points hizi noma, pale ilipokuwa 13 nilikuwa nina hope lakini sasa ngoma ngumu kidogo.
 
Haya 13 pts game..soon it will be 20 pts game..he he he..

Mkuu ulienda kwa mganga akakuambia kwamba gap litafika point 20?

Sijui wataweza kuzirudisha zote? Maana shooting machine zao leo zina matatizo.
 
Back
Top Bottom