NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

That last shot of 2nd quarter could be a turning point! Can hardly wait for the 3rd q!
 
Angalau gap limepungua ... labda Kobe atakuwa na discipline kipindi cha pili ili asiingie kwenye foul trouble.
 
Naona Allen kauropu basi hatusemi humu leo..
 
Ray Allen sets record for 7 threes in first half for nba finals! Great shooter!
 
Ray Allen sets record for 7 threes in first half for nba finals! Great shooter!

1275873304.jpg


Ray Allen is shooting the lights out at Staples Center, hitting his first seven 3-pointers as Boston leads Game 2
 
Washukuru Mungu kwamba Ray Allen hayuko kwenye foul trouble, vinginevyo turnovers na rebounding zinawamaliza.

Lakers wanatakiwa kuweka mlinzi mzuri kwa Allen, labda Artest anaweza kum-slow down a bit.
 
Lakers wanatakiwa kuweka mlinzi mzuri kwa Allen, labda Artest anaweza kum-slow down a bit.

Artest hamuwezi kwa kuwa jamaa huwa kanateleza sana, dawa yake ni kumlambisha foul ili asicheze dakika nyingi. Pamoja na hayo Phil lazima atakuwa anafikiria dawa. Ray Allen anahitaji mlinzi ambaye ni sharp na ahakikishe jicho liko kwake masaa yote na awe mwepesi wa ku-respond in case jamaa akiteleza. Artest yuko slow kwa kiasi fulani.
 
Lakers wakifanikiwa kumdhibiti Ray Allen, watashinda hii game maana bigmen wa Cs wote wako kwenye foul trouble, so hawawezi kukaba ama ku-risk ku-rebound kama hawako kwenye position nzuri. Perkins tayari anazo nne na bado dakika nyingi sana.
 
Back
Top Bottom