Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Bwana nae game lake la kubahatisha sana siku hizi~yaani amekuwa mtu wa kuvizia sana. Celtics wameshai-blew up hii series.Paul Pierce alisema hatarudi tena LA, sijui atasemaje baada ya game la leo. Mpaka sasa nina uhakika game limeisha na LAL wanachukua game 3.
Series inaeza isirudi Staples Center kabsaaa..Celtics wanataka kumpa dollar 50 yangu abdulhalim jamaa noma kweli wanashindwa ku-fight nyumbani?
ha ha ha bado mapema sana mie jana nilikuwa paypal nakuandalia invoice lool.Series inaeza isirudi Staples Center kabsaaa..
NB: Bado nachagua mvinyo unaofaa kwa ajili ya occasion.
ha ha ha bado mapema sana mie jana nilikuwa paypal nakuandalia invoice lool.
ha ha ha haya mkuu mie sina wasi wasi bado naamini mda upo wa kutosha anything can happen.Usijali mkuu series ikikamilika forward hizo 50 bux at abdulhaleemalmasih@yahoo.com itakuwa imefika.
Thanx in advance..he he he.
naona leo Pierce anacheza vizuri, anatamani kurudi Staples Center, hahaha!
Atarudi tu maana kwa nature ya hizi games zilivyo tight, hakuna timu ambayo ina uhakika wa kushinda games mbili mfululizo (back to back). Kurudi LA ni must.
That's true, lakini LAL wanaweza kushinda hii ya leo, lakini game 5 itakuwa ngumu zaidi.
Ubishoo wa Kobe ndio umewapa chance Celtix sekunde za mwisho. Zile pasi mkaa kwa ajili ya 'NBA top 10' sijui zilikuwa za nini? Mwe!
Peasant,
Sina imani sana na Lakers, ngoja nisubiri mpaka quarter ya mwisho. Maana leo naona PP anatesa, ameongeza offensive effort. Lakini apunguze fouls, japo kuna moja alibambikiwa. Akishaingia kwenye foul trouble Cs watakuwa na matatizo maana offense ya leo inaongozwa na PP. Akilamba foul za kutosha atakuwa amewasaidia LAL kupunguza vikapu, maana Ray Allen bado mambo si mazuri, KG yuko off na Rajon Rondo amekosa lay ups kama tatu au nne hivi. Lakini kwa upande wa defense naona leo Cs wako vizuri.
Anaboa sana anapo-give away cheap baskets ktk hatua muhimu za series kama hivi sasa..aaarrggh.Anajaribu kupanga rangi for the final.