NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

leo mbona siwaoni washabiki wa Celtics jamvini??!!!!!

game mbovu mkuu,hakuna cha kuchangia....wanaenda both ends 4 times bila kufunga.....thats poor bball hata kwa kiwango changu...
 
Kuna dalili Celtics watachukua hii gemu..LAL leo ndio wanaboa zaidi kuliko gemu iliopita.
 
Sasa nimeanza kuelewa kwanini Phil anamuwekaga Odom benchi.
 
Kobe yupo moto kwa 3pts leo. La wamejitahidi sana 3rd q series zilizopita walikuwa wanaacha sana, nadhani hawatapoteza 4th q. Go LA
 
Kuna dalili Celtics watachukua hii gemu..LAL leo ndio wanaboa zaidi kuliko gemu iliopita.

hata LA wanaweza kushinda.......hao C's wenyewe hovyoo tu.............afadhali world cup imefika hawa naona wananiyeyusha tu.....
 
game mbovu mkuu,hakuna cha kuchangia....wanaenda both ends 4 times bila kufunga.....thats poor bball hata kwa kiwango changu...

true! uchovu pia unachangia, wamecheza game nyingi mfululizo.
 
gm 3/4 ni disappointment......both teams produced very very poor perfomances.............

I agree MB, today's game is very boring...it lacks the punch of NBA finals...it looks like a pre-season game :angry:
 
PP ndio hot hand leo kwa C's lakini 3rd 1/4 jamaa hawajamchezesha kabisa!!!hio ni basic tu wanashindwa kufanya..........
 
.........LA leo hoi, ila ndio kawaida ya mashindano.
 
hasa huyu big baby...............

Huyu hapa....

1276225759.jpg

1276226989.jpg
 
Back
Top Bottom