Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
..weekend ilikuwaje hapo kwako lakini?
Weekend ilikuwa bomba babu ingawa manyunyu na mvua put a damper....
Una rock throwback ya Hawks lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..weekend ilikuwaje hapo kwako lakini?
Game ipo leo pale BankNorth Garden, mabingwa watetezi (sisi) tunawamwaga kinyesi Dwight Howard na wakulima wenzake toka orlando! Game time ni 8pm EST......
In Boston, we alwayz believe! Go Celtics!😎
Bingwa, yaani unaamini Cel-tits watawanyuka Orlando? Kweli naona huko kwenye njozi....
Halafu nani kakudanganya Orlando ni wakulima? Hebu uje huku tukupandishe kwenye mabembea ya ma-disney na ma-universal kama mtoto mdogo...lol Huku Florida hatujui jembe ni nini...huku ni mambo ya ku-hang beach tu...lol
Eti mabembea? Very Brian McKnightish....Lol

Tatizo lako wewe unaendekeza undava... ndio maana watu kama brian unawaona ni soft. Dizaini enzi zako ulikwa ukipigwa buti unatangaza vita na demu...demu kila akiona inabidi atoke mkuku, maana utamwangushia kibado.
Hahaha umemshitukia eh?
Uko FLA ukicross tuu stateline unaanza kuona michungwa kibao, ukivuka tuu Valdosta ukaingia Lake City mpaka Gainsville FL ni michungwa tuu imejazana.
Kwanini tuandikie wino wakati mate yapo? Ni chini ya dakika 45 kipute kitaanza, hata mwaka jana hasa kwa finals na Lakers, nay sayers kama wewe mlisema vivyo hivyo....
Orlando porini tu, machungwa, zabibu, mastaferi, embe ng'ong'o, mihogo na viazi vitamu vinatoka wapi kama sio huko kwenu?? Jogoo la shamba aliwiki mjini.....
Go Celtics!!
Icadon, hizo sehemu ulizozitaja ni sehemu ndogo tu ya FL. Orlando, Tampabay, na Miami ni mambo ya goodtime tu... Yaani huku ni mambo Daytona Beach, South Beach, na Clearwater Beach tu...

Babu nilipiga mashine kutoka ATL mpaka South Beach uko, pitia Orlando, teremka mpaka chini, kila mtu mitaa ya kwenu uko ana rasta utadhani umeenda NOLA.
Hahahahahaaa...ona unavyozijua ingredients za mipombe michafu....kwanza usikute tayari uko chicha saa hivi....
Ungejua hata usingekuwa unaropoka kama mpiga debe wa daladala anaembembea kete ya brown sugar!! Game linakaribia kuanza, tuwatoe nishai wakulima wa machungwa....
Tatizo lako wewe unaendekeza undava... ndio maana watu kama brian unawaona ni soft. Dizaini enzi zako ulikwa ukipigwa buti unatangaza vita na demu...demu kila akiona inabidi atoke mkuku, maana utamwangushia kibado.
Ouch! Ndio maana yule Layla wa Shabaan Roberts alimkimbia, jamaa ana mambo ya ki-loooong kichizi yaani, siku si nyingi Cuppy nae ata mmwaga tu...watch!
Unaona....hujabisha kama hizo siyo vilivyomo kwenye mipombe yako michafu. Haya angalia boli....i
Mie hamsa salawati, nasigda tochi m$#nge..nikinywa pombe napata m-rxn kama mtu anaetumia antabuse!! Kama hujaelewa nenda ka-google....😎
Kipute ndio kinaanza sasa.....
Wewe mbona unaombea Cuppy anitose? Cuppy haendi popote...kwangu ndio Kigoma mwisho wa reli. Kafika...haendi mbele wala harudi nyuma.
Umeona miguu ile lakini? Heheheheheheheee....