Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
It is team game, pamoja na kuwa Celtic wana wacheza wazuri sana kukosekana KG one of the big three ni pengo kubwa sana ambalo inadhaniwa lilimsababisha hata meneja wao apate minor heart attack aliposikia kwamba KG hatakuwa available kwenye playoffs. Bulls wakitulia basi wanaweza kabisa kuwatoa Celtics hata jana waliponea tundu la sindano. Huu ni mwaka wa Kobe lakini inabidi acheze katika kiwango cha hali ya juu sana dhidi ya King James and Clevaland hasa ukitilia maanani King James ana Home court advantage na walipoteza mchezo mmoja tu nyumbani katika regular season.
Hilo ndiyo tatizo unakumbuka walisema kukosekana kwa shakili kutaleta kushuka kwa kiwango cha kobe?lakini wapi kobe ndiyo alikuwa moto zaidi.KG kaweka pengo tuu lakinis iyo kwa sababu yeye hayupo ndiyo timu haifanyi vizuri.
LOL!.Huyo kingo james amekshakutana na Kobe 2 if not 3 times na zote walipigwa chini unakumbuka hiyo.so hata wakifika finals kama wanacheza na larkers cavalier wameumia lakers wana wachezaji wazuri sana kuna kale katoto Ariza the guy is s humble and very quite sijui ana girlfriend yule?anybody?