NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Unawajua akina Gianfranco Zola, David Rocastle, Peter Shilton, Bruce Grobelaar, Paolo Rossi, Roberto Baggio, John Barnes..etcetera

Babu umeacha kutizama soka miaka ya mwanzo ya 90? Zola kocha wa West Ham, John Barnes ni kocha wa Jamaica uko kwa walima ndizi. Grobelaar, Shilton hao makipa sijui wako wapi sasa hivi Baggio keshastaafu tangu sijui 2005 hao wengine waliobaki sijui wako wapi.
 
Kazi yake huyo kushinda JF kumlambalamba Mwanakijiji kule ktk siasa, kiasi kwamba mambo kibao yanampita....ataanza kukupigia story za George Best na Gaza sasa hivi, we subiri! LOL
 
Papii (Icadon) inakuwaje tena hapa na Hawks?me i hate cavalier kwa kweli i just wished Hawks wamkate ngwala huyu lebron ananiudhi sana ndiyo maana anafanana na mjaluo.

Hiki kipigo cha leo ni kama cha jana cha Boston.
 
Kumbe wewe ni historian mzuri tu...LOL!! Acha mambo ya zilipendwa, watu wanaongelea mambo yanayotokea sasa na sio karne ilopita!! Usikute unataka kutuletea stori za St. Louis Hawk, Brooklyn Dodgers, Los Angeles Rams e.t.c!! Hahahaha....

Hata mimi namjua Zinadine Zidane (Zizou),Tommy Burns,Paul Breitner.
 
Papii (Icadon) inakuwaje tena hapa na Hawks?me i hate cavalier kwa kweli i just wished Hawks wamkate ngwala huyu lebron ananiudhi sana ndiyo maana anafanana na mjaluo.

Hiki kipigo cha leo ni kama cha jana cha Boston.

Yani noma tupu!
 
Mnabishana sana kama ndugu zenu kwenye jukwaa la siasa, yani leo hapa ni furaha tupu wewe YNIM najua ni shabiki wa Chelsea na kesho ni kichapo kwa kwenda mbele.

Leo ni Arsenal for dinner and Cavaliers for dessert go Hawks!!!

Ebanaee nimesimamisha mitkasi yangu mchana huu ili kuwaangalia "The Blues"!! So far, so good...goli la Michael Essien lilikuwa la kupendeza!! Go Chelsea!😀
 
...naona maumivu tuu hapo,pole sana!
 
Ebanaee nimesimamisha mitkasi yangu mchana huu ili kuwaangalia "The Blues"!! So far, so good...goli la Michael Essien lilikuwa la kupendeza!! Go Chelsea!😀

Naona musee leo utapata double maumivu...maana dozi nyingine ya makwenzi inakuja muda si mrefu.....Go Orlando!!
 
Babu nomaaa! Kuna kitu kilikuwa kina nambia Chelsea wange-blink, dah yaani kwenye injury babake...nishai kweli!!

Leo jioni hata mie na doubt chances za wasee wa green..hata hivyo, Go Celtics, i still believe!!😀
 
Ebanaee nimesimamisha mitkasi yangu mchana huu ili kuwaangalia "The Blues"!! So far, so good...goli la Michael Essien lilikuwa la kupendeza!! Go Chelsea!😀

Mtani pole sana, naona mmetunguliwa dakika za mwisho mwisho.
 
Babu nomaaa! Kuna kitu kilikuwa kina nambia Chelsea wange-blink, dah yaani kwenye injury babake...nishai kweli!!

Leo jioni hata mie na doubt chances za wasee wa green..hata hivyo, Go Celtics, i still believe!!😀

Pole kaka ndo ukubwa huo....

Labda umtafute Sasha ili mpoozane hapo baadaye...maana leo Lakers wanapigwa tena. Angalia tu usijekwidwa shati na musee wa ATL...lol
 
Hahahaha you gotta jokes eenh!? Asante sana, lakini ndio mpira huo kwani unadunda heheheh! Mie naelewa na sitaenda kujipiga kitanzi kama Omondi wa Nairobi aliyekatisha maisha yake jana baada ya kichapo cha Arsenal!!

Musee wa ATL game lako jembamba, yeye na NN wake inabidi kwanza wapunguze "U-Souljahboy" kabla ya kuingia kwenye ligi kubwa....wakina Sasha hawazimii marangirangi😀

Naona game time ndio inakaribia...
 
Pole kaka ndo ukubwa huo....

Labda umtafute Sasha ili mpoozane hapo baadaye...maana leo Lakers wanapigwa tena. Angalia tu usijekwidwa shati na musee wa ATL...lol

Heheh unamsema Ndava NN?

Ebu sikiliza mambo ya ATL kwanza hapa upate mdadi.
 
Last edited:
Heheh unamsema Ndava NN?

Naaah It can't be me. Mimi sipiganii demu na siibii demu wa mtu. I'm confident in my swag..my swag is like a magnet and my game is tight like Kobe on game night...
 
Last edited:
Musee wa ATL game lako jembamba, yeye na NN wake inabidi kwanza wapunguze "U-Souljahboy" kabla ya kuingia kwenye ligi kubwa....wakina Sasha hawazimii marangirangi😀

Ha ha haaa kwa hiyo unataka kusema NN na Icadon magrill kibao mdomoni? ha ha haaa
 
heheh, babu naona ghafla kasi yako ya kushabikia imehalt kama imehit brick wall, mana jana umeshabikia Arsenal tukawadungua, leo Chelsea nao wametolewa, Orlando ndio hivyo wanachezea kichapo.
 
Chama langu mimi ni Bwawa la Maini

Gunners niliwashabikia jana kwa sababu siwazimii Manu.

Leo nilikuwa nataka Barca wapite.

Kuhusu Orlando, gemu bado linaendelea. Kuna quarter mzima ya kucheza.

Sasha naona kaingia mitini leo. Ngoja Lakers washinde leo, atakuja kupiga domo ukumbini hapa mpaka tutashindwa kulala....lol
 
Ha ha haaa kwa hiyo unataka kusema NN na Icadon magrill kibao mdomoni? ha ha haaa

Hahaha halafu wanatembea saa zote wamekenua, ati wenyewe "wanaringishia" na kuchukua ujiko! Kumbe mademu decent wanawaona wazushi....

Ebana lakini unaona jinsi wakulima wenzako wa machungwa wanavyopewa kisago? Duh, umeona lile dunkie la Rondo?

Hii series bado nafasi kubwa sana ya kuichukua....In Boston, We Believe, Go Celtics!! LOL
 
Nyinyi washamba kweli..yaani bado neno "grill" liko kwenye vocabulary zenu? Mmelosti nyinyi...hasa wewe "light skinned"....Lol
 
Chama langu mimi ni Bwawa la Maini

Gunners niliwashabikia jana kwa sababu siwazimii Manu.

Leo nilikuwa nataka Barca wapite.

Kuhusu Orlando, gemu bado linaendelea. Kuna quarter mzima ya kucheza.

Sasha naona kaingia mitini leo. Ngoja Lakers washinde leo, atakuja kupiga domo ukumbini hapa mpaka tutashindwa kulala....lol

Kwisha fungwa jiandaeni kukamua machungwa kwa ajili ya kutengenezea Tropicana juice.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom