Unawajua akina Gianfranco Zola, David Rocastle, Peter Shilton, Bruce Grobelaar, Paolo Rossi, Roberto Baggio, John Barnes..etcetera
Babu umeacha kutizama soka miaka ya mwanzo ya 90? Zola kocha wa West Ham, John Barnes ni kocha wa Jamaica uko kwa walima ndizi. Grobelaar, Shilton hao makipa sijui wako wapi sasa hivi Baggio keshastaafu tangu sijui 2005 hao wengine waliobaki sijui wako wapi.
Kumbe wewe ni historian mzuri tu...LOL!! Acha mambo ya zilipendwa, watu wanaongelea mambo yanayotokea sasa na sio karne ilopita!! Usikute unataka kutuletea stori za St. Louis Hawk, Brooklyn Dodgers, Los Angeles Rams e.t.c!! Hahahaha....
Papii (Icadon) inakuwaje tena hapa na Hawks?me i hate cavalier kwa kweli i just wished Hawks wamkate ngwala huyu lebron ananiudhi sana ndiyo maana anafanana na mjaluo.
Hiki kipigo cha leo ni kama cha jana cha Boston.
Mnabishana sana kama ndugu zenu kwenye jukwaa la siasa, yani leo hapa ni furaha tupu wewe YNIM najua ni shabiki wa Chelsea na kesho ni kichapo kwa kwenda mbele.
Leo ni Arsenal for dinner and Cavaliers for dessert go Hawks!!!
Ebanaee nimesimamisha mitkasi yangu mchana huu ili kuwaangalia "The Blues"!! So far, so good...goli la Michael Essien lilikuwa la kupendeza!! Go Chelsea!π
Ebanaee nimesimamisha mitkasi yangu mchana huu ili kuwaangalia "The Blues"!! So far, so good...goli la Michael Essien lilikuwa la kupendeza!! Go Chelsea!π
Naona musee leo utapata double maumivu...maana dozi nyingine ya makwenzi inakuja muda si mrefu.....Go Orlando!!
Ebanaee nimesimamisha mitkasi yangu mchana huu ili kuwaangalia "The Blues"!! So far, so good...goli la Michael Essien lilikuwa la kupendeza!! Go Chelsea!π
Babu nomaaa! Kuna kitu kilikuwa kina nambia Chelsea wange-blink, dah yaani kwenye injury babake...nishai kweli!!
Leo jioni hata mie na doubt chances za wasee wa green..hata hivyo, Go Celtics, i still believe!!π
Pole kaka ndo ukubwa huo....
Labda umtafute Sasha ili mpoozane hapo baadaye...maana leo Lakers wanapigwa tena. Angalia tu usijekwidwa shati na musee wa ATL...lol
Heheh unamsema Ndava NN?
Musee wa ATL game lako jembamba, yeye na NN wake inabidi kwanza wapunguze "U-Souljahboy" kabla ya kuingia kwenye ligi kubwa....wakina Sasha hawazimii marangirangiπ
Ha ha haaa kwa hiyo unataka kusema NN na Icadon magrill kibao mdomoni? ha ha haaa
heheh, babu naona ghafla kasi yako ya kushabikia imehalt kama imehit brick wall, mana jana umeshabikia Arsenal tukawadungua, leo Chelsea nao wametolewa, Orlando ndio hivyo wanachezea kichapo.
Ha ha haaa kwa hiyo unataka kusema NN na Icadon magrill kibao mdomoni? ha ha haaa
Chama langu mimi ni Bwawa la Maini
Gunners niliwashabikia jana kwa sababu siwazimii Manu.
Leo nilikuwa nataka Barca wapite.
Kuhusu Orlando, gemu bado linaendelea. Kuna quarter mzima ya kucheza.
Sasha naona kaingia mitini leo. Ngoja Lakers washinde leo, atakuja kupiga domo ukumbini hapa mpaka tutashindwa kulala....lol