NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Endelea basi na mitusi yako tuone kama itamtoa mtu kidonda.....wewe na yule Kishoka kazi yenu majungu tu! Kama mademu bana aaaagh, inakera sana midume inapokuwa na mambo ya saloon za kutengeneza nywele za mademu....
 
 
......i guess so! Kimyaaaaaaa kama a lil' bitch! what?
 
Yani tangu tumepigwa sweep na Cleveland naona wakulima wa Ohio wanasherekea kama wameshachukua ubingwa.


na ile trupu ya maceleb kuipa nguvu hawks bado tu wakala kibano......
 
Nilidhani uta-battle, kumbe mtu mwenyewe ni "girlieman!!" Acha kuzoeazoea watu hovyo kwenye net.....uwe na life pia sio umbea kutwa kucha hapa JF!

Na log out....kama kawaida yako utaanza kuongeaongea mie nikiwa sipo! Mchumba tu wewe....
 
 
YNIM huwa anachanganya matapu tapu hata yeye lazima aje ajishangae alichokuwa anakiandika....dogo ni wakati uachane na local brew....angalia wenzako
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=Y_WlP2Dk4zE&feature=related"]YouTube - Gravedigger[/ame]
 
Hivi Rocket na lakermania ni tie eeh 2-2 au? alafu when is the next game?

Hii itaenda mpaka game 7 alafu ya 7 tutawatundika.kama ilivyoandikwa kwenye Psalm 35:2 "Njooni nyie msumbakao naye atawapumzisha".
 
YNIM huwa anachanganya matapu tapu hata yeye lazima aje ajishangae alichokuwa anakiandika....dogo ni wakati uachane na local brew....angalia wenzako
YouTube - Gravedigger

ahahahahahahaaa...you sick son...you sick!!

umemwona ynim lakini? ni huyo aliyevaa t-shirt mwenye njino....lol
 
YNIM huwa anachanganya matapu tapu hata yeye lazima aje ajishangae alichokuwa anakiandika....dogo ni wakati uachane na local brew....angalia wenzako
YouTube - Gravedigger

Angalia tu usije kukimbilia kwa Mods......jishangae wewe kwanza unaeingilia mambo usoyajua!!
 
 
 
 
Ok Time out now.........for both of you...what is the really reason ya nyie kuanza kutupuana maneno lakini eeh...............It doesnt worthy it period....Nyie ni friends and mnawapa faida tuu watu hapa jamani....please you two really need to stop this yadah yadah yadah!........

Haya Cuppy stop it now and you......... YNIM also need to stop arguing....why lakini eeh why?.....manatupiana maneno hivi then msije mkakutana .........one on one one day alafu mkapigana visu kama akina Raymond kapalata au incident kama za akina Walter Mazula hapa...
 
 
 
- Wakulu wangu Nyani na YNSIM inatosha kwa leo, turudi kwenye NBA playoff!

Respect kwa wote wawili. Haya wakuu leo Boston na Magic vipi game 5?

FMEs!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…