Officer Ricky majanja wa kwao kina QM uko Florida lol kumbe ana rock fake LV... Nelly najua he bought a house(ile walioshoot Tip Drill video ndani yake) lakini sikujua kama amehamishia makazi hapa, alafu huyo mhuni mwenye shati jeusi vipi?
Sasha welcome back, ila wengine sie ni Liquor/weed/nicotine free.
YNIM unakumbuka wimbo wa No Limit wa Make 'em say uuuuuh?[/QUOTE]
Nakumbuka hilo dude msee nani! Kulikuwa kuna beshtee mmoja yaani yeye alikuwa anatinga mpaka zile P. Miller hahahaha....unakumbuka "Whodi," Icecream man" .e.t.c! Enzi hizo kuna demu mmoja nakumbuka akitwa Khia nae alitoa dude lake moja (Lick my..) lilikuwa linatoa warrant ya kuchezea "manyaki" ya Ma-Shaniqua kwa kilabu! Lakini mwezetu mjinga mjinga, JF Ndava, NN lazima enzi hizo alikuwa anashinda darhotwire 24/7 akipiga majungu na ufitinishi kama afanyavyo hapa JF....
NN get a life, chukua break kidogo, acha kufanya JF kama msosi.....😎
Haha Khia alianza kutukunana na Trina, nakumbuka andunje Too $hort alimjibu.
Master P na No Limit walikuwa wanatoa album karibia kila mwezi. Tracks za No Limit ambazo mpaka leo bado nazizimia
I. Ride, Die for my Ni***z
II.Back up off me
III.Make 'em say uuuuungh
IV. Dear Mr.President.
Yani tangu tumepigwa sweep na Cleveland naona wakulima wa Ohio wanasherekea kama wameshachukua ubingwa.