NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
FMES

Kobe anatakiwa kuiondoa Rockets kwanza. This series is too far from over !Please don't make a mistake by counting them Rockets out. Rockets are going to disappoint many people who are anxiously waiting for the showdown between Kobe and Lebron..........Go Rockets!

- Mkuu Rufiji, tizama usije kula maneno yako maana so far Kobe 2-1, sisi tunasubiri Kobe Lebron, but Kobe ana kazi nzito sana ya kumpita Billups na Camelo, akiweza basi atapata ubingwa, nina wasi wasi sana kwamba watakikwaa kisiki hap kwa Nuggets.

Respect.

FMES!
 
FMES, hao Nuggets naona wanampa Mavericks dozi kwa kwenda mbele tu. Itakuwa poa sana kama Melo na Lebron wakikutana kwenye finals
 
Kweli Lakers mdebwedo. A championship franchise haiwezi kufungwa kwa point zote zile...tena wakati 2 of the opponent franchise players (T. Mac and Y. Ming) are out... what a shame!!!

Sasha & YE naomba tu msinizike 50 zangu...chonde chonde...
 
Ha ha ha chonde chonde na $50 zako ha ha ha ha Kobe alias Black mamba can't win without SHAQ. This is the year for KB to prove that he can win without SHAQ, can he do it!? Only time will tell.
 
- Mkuu Rufiji you were right, hands sown leo Kobe kapigwa kipigo kikali sana, lakini bado naamini ataishia kushinda series, ila kiboko yake itakwua Nuggets, akipita hapo anashinda ubingwa.

- Lakini pongezi sana kwa ushindiw a leo!

FMEs
 
Ha ha ha chonde chonde na $50 zako ha ha ha ha Kobe alias Black mamba can't win without SHAQ. This is the year for KB to prove that he can win without SHAQ, can he do it!? Only time will tell.

Bana najaribu kuhakikisha sitazimwa....manake wabongo wazikaji sana....

Nilishasema kobelo ndoto yake nikuprove that he can do without shaq.... tatizo ni kuwa hiyo ndoto haiwezi timia....not 08/09 season
 
Hapa leo kimya naona mzee wa Kimbiji yuko bize sijui.
 
Hapa leo kimya naona mzee wa Kimbiji yuko bize sijui.

Watu wapo wanachekelea buzzer beater ya Glenn "Big Baby" Davis!! The Greens from Boston, Massachusetts ndio mabingwa watetezi....!

In Boston, we believe! Go Celtics, Go Bruins....

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=6HIToSvlsVA]YouTube - Glen "Big Baby" Davis Buzzer Beater Jump Shot..Plus Pushes Little Fat Kid On Orlando Magic Bench[/ame]
 
Halafu baada ya game nikasikiliza sana madude ya long ya kina Juve, Master P...wale wakali wa miaka ile tukiwa bado vijana...

Unalikumbuka hili? ulikuwa wapi?

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=02nJKP7Vctw]YouTube - Juvenile - Ha[/ame]
 
Umenikumbusha album ya 400 Degreez hahaha, ebanae duh mpaka leo bado ninayo hiyo cd , kwenye hiyo album kulikuwa na another hit Back that thing up as well.
 
wewe nawe kwa kujifanya gangsta....

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=TPvrDIcx7Ec&feature=PlayList&p=DD9D326941290E91&playnext=1&playnext_from=PL&index=28]YouTube - 504 boyz- wobble, wobble[/ame]
 
Umenikumbusha album ya 400 Degreez hahaha, ebanae duh mpaka leo bado ninayo hiyo cd , kwenye hiyo album kulikuwa na another hit Back that thing up as well.

We acha tu...huu Mnyani nyani Ngabu haujui mambo hiyo!! Jamaa ni toto la mama "friji open," hajui mambo ya goodtyme, kazi kushinda kwenye internet kumlambalamba Mwanakijiji...LOL
 
We acha tu...huu Mnyani nyani Ngabu haujui mambo hiyo!! Jamaa ni toto la mama "friji open," hajui mambo ya goodtyme, kazi kushinda kwenye internet kumlambalamba Mwanakijiji...LOL

Kwa hiyo unataka kusema jamaa ni shambaboy wa yule mwanasiasa?
 
Check out the celebs that came out for game 3 of the Hawks and the Cavs....vipi Monica, analipa? I think so...

Jeezy....

JD....

NN kalale unafikiria basketball ni kuvaa vipuri masikioni......kawafundishe hawks draft huko sio size yao......
 
Hehehe Soulja boi hawezi kutia mguu hapo lol...Nelly siku hizi makazi yake kayaamishia ATL nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom