NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
No Tracy McGrady, No Yao Ming, No Dikembe.......

Hiki ndiyo kizungumkuti kinachoonyesha kwamba Lakers wana kazi ngumu. Maana pamoja na kukosekana wachezaji hao bado Houston wamewatoa kijasho chembamba. Naamini kabisa kama Denver watatulia basi ule usemi kwamba "Kobe can't win without SHAQ" utaendelea tena at least mpaka msimu ujao. Denver wana wachezaji wengi wazuri kuliko Lakers, lakini NBA management wanataka kuona final ya Kobe na King James ambayo itakuwa na mvuto mkubwa kwa wapenzi wa Basketball duniani kote.
 
Right and wrong.. Lakers have been good all season long. Playoffs is all different league.

Agreed. Playoffs are a different ball game. The intesity, the desire to win, the mental and physical toughness and all that jazz are different. No argument from me there.

Na ndo hapo Lakers wanapoonekana sio wazuri kihivyo. Timu haiwezi kuendelea kuitwa mzuri wakati ina struggle kuisambaratisha supposedly "underdog" timu ambayo its only two franchise players are out.

Lakers are not looking as good because they've been playing against better competition. The Western Conference this time around is far better than the Eastern Conference and I'm predicting the championship team will come from the Western Conference.

The Cavs have been playing bums all post season long. First they had a dispirited and washed up Detroit Pistons. Then next they had those crank-that Soulja boyish Atlanta Hawks who shouldn't even have been in the playoffs to begin with. Now watch the Eastern Conference finals. It ain't gonna be a picnic for the Cavs and it won't surprise a bit if turns out to be the end of the road for them (against whichever team face).

On the other hand, it's true that Rockets were being understimated. Lakini hata hivyo, Lakers should have closed this series by game 5 (if they were as good as we thought they were).

Underestimated would be an understatement. Tune in on Sunday. They may shock the world.

All in all, Lakers are not gonna fly over Denver (if they WIN game 7 against Rockets), if they keep playing soft game.

No one in their right frame of mind thinks that. Likewise, as I said, the next series could very well be the end of the road for the Cavs.

Come to think of it.....I'm smelling Camelo vs. Lebron finals.

I would pick the Nuggets over the Cavs.....
 
Then next they had those crank-that Soulja boyish Atlanta Hawks who shouldn't even have been in the playoffs to begin with.

That ain't nice....trashing your home team like that. What happened to the "Let's go Hawks...dum dudum dudum...let's go Hawks...?" Where is the love???

I would pick the Nuggets over the Cavs.....

If it's really true that NBA organization wants Kobe vs Lebron, then Camelo vs Lebron would be plan B, and Camelo vs. Superman plan C. Celtics and Rockets have no room in the NBA finals' calender unfortunately..

I like Camelo....so I would side him to win over Lebron too
 
If it's really true that NBA organization wants Kobe vs Lebron, then Camelo vs Lebron would be plan B, and Camelo vs. Superman plan C. Celtics and Rockets have no room in the NBA finals' calender unfortunately..

For some reason, I just don't buy these apocryphal stories....
 
Where is Sasha today?.....au yuko kwa dawg-fighting-Icadon? Maana leo ni payday. Usijekuta kashuka kwa Icadon ili akampukute paychex yake yote....lol
 
Where is Sasha today?.....au yuko kwa dawg-fighting-Icadon? Maana leo ni payday. Usijekuta kashuka kwa Icadon ili akampukute paychex yake yote....lol

Aaaah na wewe bana...kama ni payday kwako haina maana na kwa wengine ni payday. Wee vipi bana...
 
Where is Sasha today?.....au yuko kwa dawg-fighting-Icadon? Maana leo ni payday. Usijekuta kashuka kwa Icadon ili akampukute paychex yake yote....lol

Najua msimu wa kukamua machungwa huu umeshawadia, utakuwa ushalipwa tayari.... mambo vipi lakini naona mjanja wenu Rick Ross anarock fake LV au ndio trend hapo South Beach?
 
Stern talks Cuban, replay in visit to Houston

By KRISTIE RIEKEN,
AP Sports Writer

HOUSTON (AP) NBA commissioner David Stern asked Mavericks owner Mark Cuban to call Kenyon Martin's mother after their exchange, and wants to look into expanding instant replay during the offseason.

Stern spoke on Thursday before Game 6 between the Houston Rockets and Los Angeles Lakers and touched on a variety of subjects, but spent considerable time on Cuban's recent behavior.

After the Mavericks' home loss to Denver on Saturday, Cuban said a fan called the Nuggets "thugs" and then Cuban looked at Martin's mother, Lydia Moore, and said, "That includes your son."

The man who made his fortune off an internet venture issued an apology to Moore on his blog, but Stern felt more should be done.

"I thought it was an attempt at an apology in the blog, which is the way Mark communicates," Stern said. "But (players' association director) Billy (Hunter) and I agreed that something more was called for and I called Mark and suggested he reach out, which I'm reliably informed he did."

Stern wasn't sure if the two ever talked.

He considered the events serious, but said he takes full responsibility for the league not taking any action against Cuban.

"I thought it was time to try to make cooler heads prevail and move to something else," Stern said. "Because this is a league that I think takes justifiable pride in its inclusiveness and diversity, and this was not something I felt particularly proud of.

"It's going to cause me to examine a lot of things that I won't go into in the course of the summer in the way we conduct ourselves. But it's a wake-up call to tread carefully and show a lot more respect for each other."

As for replay, Stern talked about his affinity for tennis and how action stops after each point to make sure it's correct. He knows that wouldn't work for the NBA, but wants to see an expansion of the use of replay and is disappointed that the NBA competition committee hasn't been "bolder" on replay.

"I think that as we have continued to take baby steps in this direction, we may be getting closer to a time when at end game, some kind of a challenge may be considered," he said. "I expect to be voted down 30 to nothing."

He refused to expand on what kind of plays could be challenged or when it would be used.

"We want to have a game called the same no matter who is (officiating) it and we want to assure that we get it right," he said. "Against that we struggle with the problem of to get it perfectly right, you get 16 cameras and take four hours to play the game. And we can't do that. We won't do that. So what you've seen is us move slowly to more replay and I think this is a good time to look at it again."
 
Najua msimu wa kukamua machungwa huu umeshawadia, utakuwa ushalipwa tayari.... mambo vipi lakini naona mjanja wenu Rick Ross anarock fake LV au ndio trend hapo South Beach?

FL imejaa ma faker tu....
 
Aaaah na wewe bana...kama ni payday kwako haina maana na kwa wengine ni payday. Wee vipi bana...

Leo ni Ijumaa na tarehe 15, kwa hiyo leo ni payday kwa karibu kila mtu anayefanya kazi.....iwe analipwa kila wiki, kila baada ya wiki mbili, au kila mara mbili kwa wiki (tarehe 15 na mwishoni mwa mwezi). Tena kuna wengine mifuko yao imetuna kuanzia jana...

Najua msimu wa kukamua machungwa huu umeshawadia, utakuwa ushalipwa tayari.... mambo vipi lakini naona mjanja wenu Rick Ross anarock fake LV au ndio trend hapo South Beach?

Msimu ulishakamilika toka wiki 3 zilizopita. Sema tu hawa Chikana wananiharibia biashara...

Rick Ross is the new king of hiphop...no matter what his haters (like you) are saying. That crown was vacated since the death of the late BIG. You know that...
 
lol BAK kesha paste....ka copy kama lilivyo na kuli paste...arrrg
 
Leo ni Ijumaa na tarehe 15, kwa hiyo leo ni payday kwa karibu kila mtu anayefanya kazi.....iwe analipwa kila wiki, kila baada ya wiki mbili, au kila mara mbili kwa wiki (tarehe 15 na mwishoni mwa mwezi). Tena kuna wengine mifuko yao imetuna kuanzia jana..

Acha urongo wewe. Leo sio payday kwa karibu kila mtu anayefanya kazi. Kama wewe umelipwa leo na una direct deposit na hizo dola zako 700 zilionekana jana kwenye akaunti yako basi usidhanie eti kila mtu kalipwa.
 
Rick Ross is the new king of hiphop...no matter what his haters (like you) are saying. That crown was vacated since the death of the late BIG. You know that...

Babu either jua la FL limeunguza brain cells zako au uelewa wako wa hip hop unahitaji bail out Officer Rick ni King of what?....bora uendelee kustick na Brian wife beater McKnight Hip Hop waachie akina yo Yo.
 
Acha urongo wewe. Leo sio payday kwa karibu kila mtu anayefanya kazi. Kama wewe umelipwa leo na una direct deposit na hizo dola zako 700 zilionekana jana kwenye akaunti yako basi usidhanie eti kila mtu kalipwa.

Kwanza, naona unaleta ligi...

Pili, silipwi kupitia hiyo DD. Huwa naenda kuchukuwa mshahara wangu ofisini kwa Labor Ready moja kwa moja. Sitaki kuchukua chance kwa kutumia hiyo DD, halafu acct # ikikosewa, halafu jasho langu liingie kwenye acct ya mtu mwingine. Tutatafutana....

Tatu, hiyo namba uliyoitoka ni kubwa kwa kipato ninachokipata.
 
Kwanza, naona unaleta ligi...

Pili, silipwi kupitia hiyo DD. Huwa naenda kuchukuwa mshahara wangu ofisini kwa Labor Ready moja kwa moja. Sitaki kuchukua chance kwa kutumia hiyo DD, halafu acct # ikikosewa, halafu jasho langu liingie kwenye acct ya mtu mwingine. Tutafutana....

Tatu, hiyo namba uliyoitoka ni kubwa kwa kipato ninachokipata.

Hihihihihihi...Labor Ready...Work Today Get Paid Today.....that's what's up
 
Babu either jua la FL limeunguza brain cells zako au uelewa wako wa hip hop unahitaji bail out Officer Rick ni King of what?....bora uendelee kustick na Brian wife beater McKnight Hip Hop waachie akina yo Yo.

Naona hutaki! Kwa maoni yako wewe, unafikiri nani ana keep up na Rick sasa hivi? Souljahboy?

You're right though....hiphop nimeshaacha kuishabikia awhile ago. Nimebaki ku-appreciate some joints here and there. Pengine labda Yo Yo anaweza kuni-update.
 
Kwanza, naona unaleta ligi...

Pili, silipwi kupitia hiyo DD. Huwa naenda kuchukuwa mshahara wangu ofisini kwa Labor Ready moja kwa moja. Sitaki kuchukua chance kwa kutumia hiyo DD, halafu acct # ikikosewa, halafu jasho langu liingie kwenye acct ya mtu mwingine. Tutatafutana....

Tatu, hiyo namba uliyoitoka ni kubwa kwa kipato ninachokipata.

Mimi siyo mtu wa sports sana ila QM unawadanganya...wenzio hapa mmh eti unaenda kuchukua mshahara office za labor wakati ww ni VP kwenye one of them major Company...Ila QM nakumbuka them days...ww na mshikaji mlivyokwa mnakuja home kwangu kula ugali...those were days...hivi kwa nini mliama lakini eeeh,.,,,,,...maana toka that time nikawa so boared.....
 
QM unawadanganya...wenzio hapa mmh eti unaenda kuchukua mshahara office za labor wakati ww ni VP kwenye one of them major Company...Ila QM nakumbuka them days...ww na mshikaji mlivyokwa mnakuja home kwangu kula ugali...those were days...hivi kwa nini mliama lakini eeeh,.,,,,,...maana toka that time nikawa so boared.....

Acha umbea we mwanamke, hukomi kusutwa.
 
Acha umbea we mwanamke, hukomi kusutwa.

Umbeya gani nilioandika na nani anisute?...wewe ndiyo unayetafuta umbeya mambo hayakuhusu unataka kuyashadadia.....unakuwa kama shosti bwana....hebu nenda nitolee balaa lako la ijumaa.....na kaunda suti zako za jeans....
 
Wee uwiano maalumu....hivi shida yako kwangu ni nin haswa?...maana kila napokwend aunanitafuta kila napokwenda unanitafuta.......unanitakia nini unapenda kutafuta beef na mwanamke why dont you find size yako mwanaume...mwenzio unless .......miye sitaki nimeshasema sitaki durah-maa na mtu yeyote yule naongea na QM unaingilia unajua mimi na QM tunajuana vipi.?...ughhhh! watu wengine bwana nuksi tuuu!...kila kukicha,,,,..............sipendi na tena sitaki Uwiano Maalumi...read my words SITAKI DURAHMAH NA WW!....Period...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom