- It is over, The overrated Cavs sasa wamefika mwisho Lebron amejitahidi sana lakini bado hana uwezo wa kutosha kushinda NBA, poleni sana wapenzi wa Cavs, hata mimi ameni-disappoint sana jamaa!
FMES!
It is too early to count out King James and Cleveland, they are capable of winning the next 2 games to set a stage for game 7 in Cleveland. Wakitolewa CAVS wa kulaumiwa si King James bali ni supporting players.
BAK said:...Wakitolewa CAVS wa kulaumiwa si King James bali ni supporting players.
ndio ninachotaka na mie.........naombea fainali ya Nuggets vs Magics.
It is too early to count out King James and Cleveland, they are capable of winning the next 2 games to set a stage for game 7 in Cleveland. Wakitolewa CAVS wa kulaumiwa si King James bali ni supporting players.
Sawasawa Kaka, Baada ya ile Buzzer Beater ya game 2 watu wakaanza kutaka kumfananisha na MJ, lakini ndio hivyo MJ alikuwa ana-deliver (6 Rings si mchezo). Ila LBJ bado kijana ana muda wa kujiendeleza na atafutiwe Big Man (Centre) mzuri atakuwa fresh. Nadhani Uliona Jinsi Nuggets walivyojitahidi (Ingawa Carmelo hakucheza fresh game 4). Its on tonight (Nasubiria hii game kwa hamu)- Mkuu Bubu, with all due respect Bulls aliyekuwa anashinda ni Michael Jordan sio team nzima, ndio maana yeye alikuwa anapewa hela nyingi sana kuliko wengine wote, ndio maana wanyamwezi hawapendi soka kwa sababu inataka watu wengi kushikrikana mpaka kushinda,
- Cavs ni Lebron mkuu, na ndiye wa kulaumiwa yeye star mmoja anatakiwa kuwafanya wenziwe wote wawe better, kama hawawi basi something is worng na hizi hype za NBA ads, hivi umefika Timesquare mkuu karibu na Good Morning America, uone Billboard yake mkulu?
- Hili ni lake, sasa akubali tu kua limemshinda na hawezi bado kuwemo kwenye wakali, bado sana!
Respect.
FMES!
Mechi ya leo ngumu kutabiri mshindi nani
67-64 3rd Qtr