NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Yo Yo Tell 'em wewe unashabikia timu gani? mie nataka hawa southerners wapite maana LBJ naye ana misifia kama ya KB.
orlando magic......simfagilii kid james hata kidogo.....
 
Nina sense Cleveland watashinda leo....saa ingine huwa naanza kuamini kama hizi mechi matokeo yake yanakuwa yamepangwa...
 
usiogope....ngoma bado sana

Mimi nakubalina na NN na hii ngoma kama namna gani vipi basi Orlando
wangekua washa-stamp authority yao in this game.Hii back and forth
is not good.
 
hii ndio fungulia dog wanaita.....Cavs hatoki leo
 
nini tena hii 100-100? wanapigiana penati?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom