William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
FMES kuna ile game ulisema ulishaenda kulala ukijuwa Magic wameshinda na ukajakushangazwa eti kwanini LB alibeat the buzzer...Ulinishangaza sana kama wewe ni mpenzi wa basketball eti ulienda kulala wakati game diffrence ni only a point na bado kuna seconds za kuplay,hata soka yenyewe si hivyo ni hadi kipenga cha mwisho..Kama wewe si mshabiki wa LB simamia pointi yako si uwe kigeu geu.
- Mkuu kwa kawaida huku kwenye michezo huwa haturuhusu vurugu na ligi zisizokwua na elimu, kwa hiyo samahani wrong number tafuta pengine,
- Pia huku huwa tunajadili kistaarabu sana, kwa hiyo pole sana mkuu tafuta pengine au mwingine!
Respect.
FMES!