William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kwa hiyo wachezaji wa timu nzima wanaweza kila mmoja akaproduce 10 points per game na bado wakapata ushindi!!!! LOL! Hebu uliza bila excellent number za Michael Jordan akisaidiwa na akina Pippen, Horace grant na Rodman kwenye reboubds hivi unadhani Bulls wangeweza kudominate NBA miaka ile!?
Kwa hiyo wachezaji wa timu nzima wanaweza kila mmoja akaproduce 10 points per game na bado wakapata ushindi!!!! LOL! Hebu uliza bila excellent number za Michael Jordan akisaidiwa na akina Pippen, Horace grant na Rodman kwenye reboubds hivi unadhani Bulls wangeweza kudominate NBA miaka ile!?
- KB ana rings ngapi na KJ anazo ngapi mkuu? Kama ni namba basi muhimu ni za ubingwa sio assist, au? Kutoka au kubaki kwa KB Lakers haku auhusiano wowote na uwezo wake mkubwa wa kucheza.
- KJ hana ring hata moja, Kobe anazo tatu tayari na sasa anakaribia kuvaa ya nne, huku KJ anaelekea vekesheni!
FMEs!
Hizo rings za KB zilitokana na juhudi za SHAQ na yeye KB akiwa mmoja wa supporting players wa SHAQ. Na mwaka huu pia yeye na wenzie kwenye finals they have to raise their levels otherwise inaweza kuwa repeatition kama ya mwaka jana, "Kobe can't win without SHAQ."
james falla fulani tu aende zake...Bye bye Queen James.....
- Mkuu Bubu, ninakuaminia to be bigger than this, Kobe ana Three rings Lebron hana hata moja, ni ubingwa ndio una-count sio anything else.
Thanxs and Out.
Respect.
FMEs!
wewe a james wako kaeni jukwaani muangalie watu wanaojua basketball wakicheza......yaani mlianza matusi makubwa ya kumlinganisha kid james na Michael jordan.......mnafaa mpewe server banMuulize yoyote anayeijua Basketball hata legends akina Barkley, MJ, Dr J, Magic Johnson, Ewing na wengineo wengi kama King James yuko over rated. Na wote utaona hawakubaliani na dhana yako kwamba King James yuko overrated. Michael Jordan ilimchukua miaka sita kuja kupata ubingwa wake wa kwanza na hakuna hata siku moja kuna mtu alitamka kwamba Air Jordan alikuwa overrated. Ewing, Karl Malone, Barkley na wengi wengineo hawakuwahi kuchukua ubingwa wa NBA lakini hata siku moja hawawezi kuwekwa katika kundi la overrated players. Na siku zote mchango wao mkubwa katika basketball utaheshimiwa na wengi na wote ni legends of the game. Ingekuwa kama kinacho count ni ubingwa tu basi hawa wangedharaulika tu katika circles za Basketball lakini ukweli ni kwamba wanaheshimiwa sana kwa contribution yao.
wewe a james wako kaeni jukwaani muangalie watu wanaojua basketball wakicheza......yaani mlianza matusi makubwa ya kumlinganisha kid james na Michael jordan.......
- Hamna la kuongeza tena hapa, ubarikiwe tu!
FMEs!
james falla fulani tu aende zake...
Joe Smith of Cleveland and Rashad Lewis of Orlando have more authority to speak in regards to King James' perfomance than YOU. Please hear them out!
Michael Jordan achieved so much in his illustrious career that you just have to wait till the end of another players career in order to compare them.
- Hapana nimeamua kumsikiliza another JF's member anaye-make more sense kuliko hao class B NBA players, ona chini hapa:-
Saafi sana Mwanafalsafa, yako ni strong analysis kwamba Lebron hayuko hata karibu kwa MJ, despite the hype.
Respect.
FMEs!
Kamuulize Legend yeyote wa Basketball wakiwemo Michael Jordan, Magic Johnson, Ewing, Barkely kwamba kwamba Lebron is just a hype and he is overrated hakuna hata mmoja atayekubaliana na nawe. Hata Rashad Lewis mmoja wa wachezaji wa Orlando ametamka hapa,
ha ha ha ha LOL! Eti watazamaji ndiyo wanajua kuhusu wachezaji haya!!! Umenikumbusha mtazamaji mmoja pale Bongo katika mechi ya soka uwanja wa Taifa. Alikuwa anasema sasa hawa mbona wote wanagombea mpira mmoja tu!! Kwanini kila mmoja asipewe mpira wa kwake akachezea mwenyewe badala ya kugombea mpira mmoja, watu walimkata macho hakutia neno tena!!!! ha ha ha ha Hivi unafikiri kweli watazamaji watakuwa katika nafasi nzuri ya kutoa opinion ya performance ya mchezaji kuliko legends kama akina Barkely, Magic Johnson, Ewing, Karl Malone, Air Jordan n.k.!? Ha ha ha ha ha ha hii ya leo kali!!! 🙂