William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kwa hiyo wachezaji wa timu nzima wanaweza kila mmoja akaproduce 10 points per game na bado wakapata ushindi!!!! LOL! Hebu uliza bila excellent number za Michael Jordan akisaidiwa na akina Pippen, Horace grant na Rodman kwenye reboubds hivi unadhani Bulls wangeweza kudominate NBA miaka ile!?
- Wasingeweza bila Michael Jordan, lakini wengeweza bila Pipen, Grant, au Rodman. Hawa walionekana kwa sababu ya Michael Jordan, lakini Michael Jordan hakuonekana kwa sababu ya hao wachezaji wengine hii ni fact na sio opinion!
FMEs!