Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
Ha ha ha you won't regret this decision at all 🙂 Hata Wazungu siku hizi wanazitaka curves kwa nguvu tu na wengine hufanya hata mazoezi ili kujenga curves hizo na siyo ile namba 1 yao 😉
Bubu huyo the so called ur kid (king james) mbona ana ma-tatoo hivi and what is the point ya kuweka tatoo and why watu wanapenda kujichora miili yao?.unajua kuwa tatoo ni sin kwenye dini? kwenye bible in Leviticus 19:28, says "Do not cut your bodies for the dead, and do not mark your skin with tattoos. I am the Lord." (NLT) How much clearer can that be?
ooh gosh! hii swine flu imetokana na nini maana i feel so sick naona kama nimeipata hii swine flu,i am so sick.
Unatania au unasema kweli? Kama unaumwa nenda haraka hospitali wakakupime inawezekana kabisa ni ugonjwa wa kawaida itakusaidia kwa kukuondoa wasiwasi.
Nimesikia swine inaweza kuleta brain damage tuu.Nimekunywa antibiotic Bubu zile penicilin na anona zinanisaidia
Sasa naona umeanza kuleta janja ya nyani. Usije ukanipa kisingizio kuwa umetumia hamsini yangu kununua dawa ya hiyo flu.... Hatutelewana!!!
No way QM deal yetu bado ipo hata payday loan nipo radhi kwenda.Ila kama nina swine ujue naweza kuwa brain damaged alafu nikasahau kama kuna bet.
Arooooo....Thasha...vipi quothe yangu ulothema uthanipathia?
oh about the quote.Ok let me see well do you really?.
alafu unaongea kama wapare.
thatha nthaanzdha kukuona wewe mwongo na ulinithungua thu vithu ambathvyo thikuvithema....wewe Thathsha wewe....
Trust me ulithema,ila thema thijui kurudi nyuma na kuangalia hiyo comment maana ile thread ipo too long.
Thathsha thatha unaletha vithingidhio thuuu....
Hivi Thathsha unaithshi wvapi? Thtate gani?
tsk tsk tsk no wala thileti vithingisiyo wee nyani nganu jamani mwendhio nasema ukweli daima.
Mimi naishi Delaware,PA My darling and you? (i thee it turn to be chat room lol).
Weee dhon't meth up my name...my name ith Ngabu and noth nganu
Ohh thweethearth mimi naithshi Georgia....whath's your relathiontship thtathuth?
typing error keyboard yangu inasuasua kiaina.
what?sijakupata hapa
I live in ATHL
are you thingle?
No i am married with 5 kids and 2 grand kids.
you are lying tho me thatsha....you are noth marriedh.....lol....i know you thatsha....lol