Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kuna vijana wengi wakitanzania i know nao pia wanapenda kweli kuvaa skinny jeans alafu wanavalia matakonialafu hawana ****** kazi kweli kweli.sijui ndiyo kufuata mkumbo huko au ndiyo when you are in america yo u need to act liek american?.
wee nyani ngabu ina maana kila mwanaume aliyekuwa divorced ni gay?.
Ooh you are so sweet QM,lazima mkeo atakuwa anafaidi sana kuwa na mwanaume so romatic like you.
Well...siyo kwamba kila mwanamume anayevaa skinny jeans ni suspect lakini hebu jiulize mwenyewe....mwanamume mwembamba halafu unavaa skinny jeans...kwa nini?
wewe unaweza kum-date mwanamume anayevaa skinny jeans?
Ndo maana uwa unajifua jimu 24/7 nini? Angalia hayo mafomula yanamadhara....lol
ha ha haa my head got bigger....merci beaucoup!!!
No only wanavaa skinny jeans but skin guy are not my cup of coffee.hawako attractive to me.I need a really man ambaye at least akinishika na feel the muscles.
Nipo cuppy............... nipo kuna issue nafuatiliya ni very important........
God knows I miss you....I'm lost when you're away Cuppy....
tsk tsk tsk kumbe you are in love uh then why were you asking me if i am single or not?.you are so silly man.
Unaona sasa kumbe na wewe unapenda muscles...sasa mwambie huyo QM awe anaingia gym angalau mara tatu kwa wiki....aache kuendekeza ulaini laini....
Unaona sasa kumbe na wewe unapenda muscles...sasa mwambie huyo QM awe anaingia gym angalau mara tatu kwa wiki....aache kuendekeza ulaini laini....
Sasa kuna ubaya gani akijua kama uko single au la, na wewe ni mmoja wa wale ukiulizwa kama uko single basi unajua mwanaume anakutaka?
Hizi Playoffs zinaendeleaje kwanza? maana wengine Basketball imetupitia kushoto kabisa.
No wala nilikuwa sifikkirii kuwa Nyani ngabu atanitaka maana najua love is int he air na sister Kelly01 no doutn tutakuja ksuikia chereko na vifijo and i cant wait kushuhudia.Ila tuu na wewe usifanye engagement kempisky.
God knows I miss you....I'm lost when you're away Cuppy....
oh btw playoff zinaendelea vizuri sana hiyo timu yako ya hawks ilifungwa huzi na Miami tena vibaya sana tuu.Then lakers waliwabamiza kinomaaa Utah jazz game ilikuwa nzuri sana ila i was home sick day after maana lakers walifungwa ila i think waliwaachia tuu then Bulls na Boston gadammit wale watu waliingia overtime mara 2 ilikuwa kidogo waende overtime ya tatu that was crazy.
No wala nilikuwa sifikkirii kuwa Nyani ngabu atanitaka maana najua love is int he air na sister Kelly01 no doutn tutakuja ksuikia chereko na vifijo and i cant wait kushuhudia.Ila tuu na wewe usifanye engagement kempisky.
siyo kweli lazima uwende gym ndiy uonekane mwanaume.kuna gay guys wengi tuu mbona gym na bado wateketeke sema tuu watu wanakwenda gym kuwa toned.
Duh last time nimefuatilia Series ya Hawks na Heat ilikuwa tied 2-2, lakers wamewabamiza wavhovu Utah who?
Hii biashara ya kubeba chuma wakati domo zege utaishia kuwa na mwili kama nyumba na bado usipate chicks.
Hii biashara ya kubeba chuma wakati domo zege utaishia kuwa na mwili kama nyumba na bado usipate chicks.
Ma gay wanao work out regimen zao ziko tofauti kabisa na straight men. Wao wanataka ku maintain figure zao za ki feminine....
Njoo LA Fitness siku moja uone wanamume wa shoka wanavyosukuma uzito...you'll be impressed na uki date mmoja wao utajisikia secure muda wote