NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
And that's why i love basletballi am tall liek that,huyo QM anaweza kuwa 5:8 most tanzanian man wako at that range and its really hard for me to find a guy close to my height.Na siyo ndiyo natafuta no i am just saying.

Good guess...Mimi niko 5'5.5"
 
Wewe huyu hapa

yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
tehe tehe hunivalishi namna hio......hizo ndio zenu watu wa majuu naonaga mapicha yenu alafu hapo una bonge la hereni la bati masikioni..........btw naona ulianza bird walk kwa sasha.....
 
i thought hii thread ni ya abt de nba playoffs ziendeleazo nw..but nimetry even kugo nyuma nyuma page ngapi sijui still nakuta maongezi mengine yasiyohusiana na nba...
 
i thought hii thread ni ya abt de nba playoffs ziendeleazo nw..but nimetry even kugo nyuma nyuma page ngapi sijui still nakuta maongezi mengine yasiyohusiana na nba...

Taratibu jirani.kama una issue wee bring and we will discuss.,si unajua hata watangazaji wa NBA playoff wakati wa half time huwa wanakwenda off point then game ikianza wanarudi kazini.

hii ni kama half time.
 
Daah QM pole kumbe wee ni walewale tuu 5"5 i knew it maana hiyo ndiyo height ya wanaume wa kibongo,wapo wafupiiii.
 
Daah QM pole kumbe wee ni walewale tuu 5"5 i knew it maana hiyo ndiyo height ya wanaume wa kibongo,wapo wafupiiii.

Nasikia siku hizi unaweza ku-upgrade just about anything in a body...kwa hiyo nimekuwa natafuta mtaalamu wa "height-implants." Nasikia eti wanakongoa sehemu ya ugokoni na kujaza mifupa feki...
 
Nasikia siku hizi unaweza ku-upgrade just about anything in a body...kwa hiyo nimekuwa natafuta mtaalamu wa "height-implants." Nasikia eti wanakongoa sehemu ya ugokoni na kujaza mifupa feki...

Hizi surgery sasa wanakwenda mbali ugoko wenyewe tayari mifupa wanakogoa nini sasa?.watakulemaza watch out
 
mhm mwanawane michezo yooote hata ile ya wawili wawili half time inakua ni dakika chache ukilinganisha na mpambano wenyewe

sasa hapa mbona half time ndo imenogea pages nyingi zaidi hata ya maongezi yenyewe ya playoffs?n besides yahusiane husiane basi na mchezo wenyewe wa kikapu ila hola,i aint havin anythin against some pipo kutoka nje ya mada kidogo but kw amie nlifungua thread hii nione info za nba mwee tafuta , tafuta na wewe naja zikuta page ya ngapi sijui hukoooo nyuma

over n out

Taratibu jirani.kama una issue wee bring and we will discuss.,si unajua hata watangazaji wa NBA playoff wakati wa half time huwa wanakwenda off point then game ikianza wanarudi kazini.

hii ni kama half time.
 
Mimi nipo expert kwenye department zote inategemea wewe what do you like?.its your city so you know what's good.

Well, since it is my city, then leave everything to me. And I like a lot of things I'm versatile.
 
Well, since it is my city, then leave everything to me. And I like a lot of things I'm versatile.

usije ukaniambia tuu ooh economy na pia nimelipia bills today lets stay in and play video game.
 
sorry inabidi tuu ujichanganye hivyo hivyo.
 
usije ukaniambia tuu ooh economy na pia nimelipia bills today lets stay in and play video game.

Icadon.....yaani ukichemsha hapo nita ku write off kabisa aisee....

The chick is ready to bring her long legged self to your neck of the woods...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…