NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Icadon.....yaani ukichemsha hapo nita ku write off kabisa aisee....

The chick is ready to bring her long legged self to your neck of the woods...

I didnt say i am ready.you are putting words into my mouth nYani.
 
Where is my Cupcake...I miss her.....muuuuuuaaaaaaaaa Cupcake

tsk tsk tsk tsk tsk that is a good move.

haya nice chit chatting witcha,now i have to bounce nje kuko powa sana.mambo ya vibikini kuonyesha long legs tsk tsk
 
Lol, Brian McKnight wa JF yuko wapi?

Sasha, usiwe na wasi wasi na mambo ya economy...ofcourse ilo nalo itabidi uje homeground kuprove.
 
Nimesikia swine inaweza kuleta brain damage tuu.Nimekunywa antibiotic Bubu zile penicilin na anona zinanisaidia

Bora kama unajisika nafuu. Back to our regular program. Congrats! Kobe Bryant alias Black Mamba and the Lakers wamewatoa wachovu toka mormon country. Inaelekea kwe semi finals ya West Conference mtapambana na Houston huo ni mteremko mwingine kuna possibility ya kuwasweep.
 
Hivi Cavs wanamsubiri nani?

Halafu naona Spurs kwishnei....
 
Naona bulls wanawatoa nishai Celtics. Hii series lazima itakuwa moja ya the best series mwaka huu.

Ngoja tusubiri kushuhudia Rockets wakiwatoa kamasi Lakers.

Sasha upo??
 
Naona bulls wanawatoa nishai Celtics. Hii series lazima itakuwa moja ya the best series mwaka huu.

Ngoja tusubiri kushuhudia Rockets wakiwatoa kamasi Lakers.

Sasha upo??

QM game ya jana nimeona kati ya Bulls na celtcs ilikuwa hot its a tie 3-3 naona kuna game 7 jumamosi.
haka katoto Derick Rose miye nimekapenda aisee kanamchumba au mke eti QM?.
 
QM game ya jana nimeona kati ya Bulls na celtcs ilikuwa hot its a tie 3-3 naona kuna game 7 jumamosi.
haka katoto Derick Rose miye nimekapenda aisee kanamchumba au mke eti QM?.

Leo chama langu(Hawks) linamtoa mtu nishai. Hujambo lakini Sasha?

QM najua hapo MIA mna wasi wasi tuu.
 
Leo chama langu(Hawks) linamtoa mtu nishai. Hujambo lakini Sasha?

QM najua hapo MIA mna wasi wasi tuu.

ha jipe moyo tuu i trust MIA lazima watafanya kweli.Hawks mabishololo sana.

miye mzima wa afya tele hofu na mashaka ni kwako ww tu uliye mbali na upeo wa macho yangu Icadon.
 
Leo chama langu(Hawks) linamtoa mtu nishai. Hujambo lakini Sasha?

QM najua hapo MIA mna wasi wasi tuu.

Wade kaumia bana.. ndo maana mnaweza kupita. Bila ya hivyo, mnajua mngeishia round ya 1 tu.

Lakini hakijaaribika kitu, kaka Miami wakitolea, bado kuna Orlando inapeta.
 
Wade kaumia bana.. ndo maana mnaweza kupita. Bila ya hivyo, mnajua mngeishia round ya 1 tu.

Lakini hakijaaribika kitu, kaka Miami wakitolea, bado kuna Orlando inapeta.

Hilo ndiyo tatizo la kutegemea mtu mmoja kwenye team,akiumia mjue mmekwisha unlike lakerssss!,timu yote imekamilika.count down QM!.Be ready for my $50.00 nitaenda kununua skiny jeans ya kuvalia ATL nimuonyeshe Icadon hat my mama gave me.
 
QM game ya jana nimeona kati ya Bulls na celtcs ilikuwa hot its a tie 3-3 naona kuna game 7 jumamosi.
haka katoto Derick Rose miye nimekapenda aisee kanamchumba au mke eti QM?.

Yeah Bulls vs Celtics inakwenda down to the wire. Sitashangaa kama kutakuwa na four overtimes kwenye game 7. Unajua Bulls wangeclose jana, kama wasingechemsha game 5. Haiwezekani uwe mbele kwa zaidi ya point 10, bado dakika 5, halafu ufungwe.

Hapana bada usije ukam-Demi Moore-lize katoto ka watu. Kana miaka sijui 19. Kwa nini usi-deal na magwiji kama wakina Icadon? LOL
 
Tatizo la Bulls ndiyo hilo wanaanza vizuri wanakuwa mbele kwa point kadhaa alafu sijui wanakuwa wanaridhika wanaharibu at the end.Aaafu wala hujakosema hiyo game 7 lazima nayo watakwenda overtime.

tsk tsk tsk scintificaly wanasema kuwa watoto wengi wanapenda type kama hizo za akina demi-moore,ila hata miye katoto mwenzio nipo 15years old.

Nilikuwa nauliza tuu lakini mwenzio wala sidhimii hao athletic wana wanawake kila state.Miye nakula sambasamba na akina mandingo brothers niliyowazoea ,si unajua ile ya "nataka sitaki".
 
Hilo ndiyo tatizo la kutegemea mtu mmoja kwenye team,akiumia mjue mmekwisha unlike lakerssss!,timu yote imekamilika.count down QM!.Be ready for my $50.00 nitaenda kununua skiny jeans ya kuvalia ATL nimuonyeshe Icadon hat my mama gave me.

LOL...just be careful. Wa-ATL wanapenda "Dawg fighting." isitoshe wengi wao ni ma-Evander Holyfield. Wasije wakakufanya punching bag.

Si umeona mwenyewe, Nyani Ngabu idol wake ni Kimbo Slice

.....si unajua ile ya "nataka sitaki".

Haya mambo ya niangusage umeyajua wapi wewe mtoto wa kimachame.

Halafu, hivi kwa nini nyinyi wamachame mkitukana huwa mnavuta sana? Yaani tusi ambalo limezoeleka mtaani, mkitamka nyinyi duh linaumiza sana kwa jinsi mnavyolivuta...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…