NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
LOL...just be careful. Wa-ATL wanapenda "Dawg fighting." isitoshe wengi wao ni ma-Evander Holyfield. Wasije wakakufanya punching bag.

Si umeona mwenyewe, Nyani Ngabu idol wake ni Kimbo Slice

qm-albums-funny-pictures-picture448-kimbo.bmp

Hapa hakuna wa kum-blame full stop.
 
LOL...just be careful. Wa-ATL wanapenda "Dawg fighting." isitoshe wengi wao ni ma-Evander Holyfield. Wasije wakakufanya punching bag.

Si umeona mwenyewe, Nyani Ngabu idol wake ni Kimbo Slice

qm-albums-funny-pictures-picture448-kimbo.bmp

Hehehehehee...si bora mimi Kimbo....wewe idol wako nani? Brian "Gay" McKnight......

Hebu tafuta youtube video ya Kimbo uone jinsi anavyorusha mkono.....

Icadon uko wapi sasa? Sasha anataka kwenda kununua skinny jeans aivae akija kukutembelea....ushindwe wewe tu sasa
 
No skinny jeans siyo ya sasa hivi hadi NBA pLAyoff itakapoisha maana nina bet na QM.Akinilipa ndiyo nakwenda kununua skinny jeans ya kuvaa nikija kumuona bwana Icadon.
 
Kuna kila dalili QM atajipatia $200 za haraka haraka 🙂 maana ukiondoa Kobe wacheza wengine wote hawakuwa impressive katika round ya kwanza, labda watajirekebisha katika round inayofuata.
 
LOL...just be careful. Wa-ATL wanapenda "Dawg fighting." isitoshe wengi wao ni ma-Evander Holyfield. Wasije wakakufanya punching bag.

Ooh No you didn't!!! ushaisahau motto ya ATL? City too busy to HATE...babu vipi ushaingiwa na wasi wasi wa kulose nini (heat kwa ATL na bet yako kwa Sasha)?
 
Hilo la MIA vs ATL wala halina ubishi. ATL wamekamilika zaidi ya MIA. Nitakuwa surprised kama MIA wakipita.

Mbona ile bet imeshaisha hata kabla haijaanza. Bibie Sasha ameniweka benki tu hamsini yangu. Lakers mwisho wao ni kwa Rockets.
 
Naona unakimbia bet kijanja sasa ushaona hatari siyo?.Vipi resecion imekukumba nini?.
 
Kuna kila dalili QM atajipatia $200 za haraka haraka 🙂 maana ukiondoa Kobe wacheza wengine wote hawakuwa impressive katika round ya kwanza, labda watajirekebisha katika round inayofuata.

dont judge a book by its cover tukae na tusubiri tuone itakuwaje.Ila bado nina imani na Lakers.msiwatiriye uchuro jamani.
 
Naona unakimbia bet kijanja sasa ushaona hatari siyo?.Vipi resecion imekukumba nini?.

Sikimbii wewe 'long-curved-mguu-wa-chupa-legs" lady! Nasubiri tu hiyo hamsini yangu ili nikalipe light bill kabla tanesco wa marekani hawajalamba luku yangu.
 
No skinny jeans siyo ya sasa hivi hadi NBA pLAyoff itakapoisha maana nina bet na QM.Akinilipa ndiyo nakwenda kununua skinny jeans ya kuvaa nikija kumuona bwana Icadon.

Icadon unasikia lakini hayo....wee zubaa zubaa tu...kwanza shukuru Yo Yo hizi siku mbili tatu hajaonekana hapa maana angekuwa tayari keshatupa ndoana....
 
Hilo la MIA vs ATL wala halina ubishi. ATL wamekamilika zaidi ya MIA. Nitakuwa surprised kama MIA wakipita.

Mbona ile bet imeshaisha hata kabla haijaanza. Bibie Sasha ameniweka benki tu hamsini yangu. Lakers mwisho wao ni kwa Rockets.

Babu endelea na ubishi wa ATL, mambo ya Lakers yaache kabsaaa
 
Chuuuuuuuuurch!.Preach! preach! Hallelujah.

wee Nyani Ngabu usimpe Icadon kidhungudhungu hapa akaanza kujiweka sawa wakati goli bila bila.
 
Babu endelea na ubishi wa ATL, mambo ya Lakers yaache kabsaaa

Unaweza kujiunga kwenye bet na wewe. Nikishinda, nakusanya hamsini kutoka kwa kila mmoja wenu. Nikishindwa nawalipa hamsini kila mmoja wenu. Karibu.
 
Icadon unasikia lakini hayo....wee zubaa zubaa tu...kwanza shukuru Yo Yo hizi siku mbili tatu hajaonekana hapa maana angekuwa tayari keshatupa ndoana....

Hapo kwenye red, hawezi kucheza kwenye Turf yangu. Ila sasa kwa nini utataka kuficha hiyo miguu mirefu kwenye skinny jeans..? just curious.

Ila utani pembeni Lakers wamejijenga upya baada ya Shaq kwa kifupi wanatisha.
 
Unaweza kujiunga kwenye bet na wewe. Nikishinda, nakusanya hamsini kutoka kwa kila mmoja wenu. Nikishindwa nawalipa hamsini kila mmoja wenu. Karibu.

I am in!
 
Ila utani pembeni Lakers wamejijenga upya baada ya Shaq kwa kifupi wanatisha.

Lakers wana talent lakini wengi ni watoto tu. Ukiondoa Kobe na Fisher, wengine wote waliobaki hawawezi ku-make tough shots down the wire. Odom gemu imeanza kuporomoka. Gasol ni soft mno. Playoffs ni tofauti na regular season. Mtaniambia.
 
Hapo kwenye red, hawezi kucheza kwenye Turf yangu. Ila sasa kwa nini utataka kuficha hiyo miguu mirefu kwenye skinny jeans..? just curious.

Ila utani pembeni Lakers wamejijenga upya baada ya Shaq kwa kifupi wanatisha.

Halafu skinny jeans wakati wa summer....naona hajui kuwa wakati huu ni Hotlanta.....na sio Atlanta...

Mi nadhani avae sun dress....
 
Icadon na Nyani ngabu,wala msikonde skinny jens siyo lazima ziwe suruali tuu kuna skiny jeans ya kaptula ile inakuwa over magoti alafu tight ushindwe mwenyewe.

QM,unamaanisha nini Lakers wengi ni watoto?sasa watoto hao hao ndiyo watakaowafunga wee unataka wazee kama akina Jason Kid,KG,Ben Wallace Nini?.wale game imeshakwisha wee angalia rokkies kama akina Derick Rose,Ariza wana stamina bado yaani damu ianchemka ndiyo maana wanawamaliza akina pierce hao kwisha muda wao.

Ila Kobe nis tory nyingine hata kama nimzee lakini wee mwenyewe umemkubali.Hook yake hakuna anayefikia.

tsk tsk tsk tsk sasa ngoja tuone kama kweli utakuja kutoa hiyo $100.00 na utashangaa ntu kibao itakuja kutoa bet sijui utafanya nini ila usikimbie nakutaanzali tuu.
 
dont judge a book by its cover tukae na tusubiri tuone itakuwaje.Ila bado nina imani na Lakers.msiwatiriye uchuro jamani.

Siyo uchuro SF bali ni ukweli wa mambo jinsi nilivyuona. Sasa kama hawakuinua kiwango chao cha uchezaji na Houston basi watakuwa katika wakati mgumu mno. Bynum alibaki uwanjwani kwa mzoezi ya ziada siku mbili mfululizo ili aweze kupambana na Yao Ming. Kama Yao atamdominate Bynum basi kunaweza kabisa kuwa na big upset. Kobe Bryant alias Black Mamba and the Lakers in 6 games.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom