YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,215
- 25
Leo chama langu(Hawks) linamtoa mtu nishai. Hujambo lakini Sasha?
QM najua hapo MIA mna wasi wasi tuu.
Hahahaha duh, hata mie nimeona jinsi chama la mundeli, Hawks (Mabitozi) walivyomtoa mtu nishai jana! LOL...
Kutakuwa na game 7even tonight in The Big Beantown, usikose kuangalia, Celtics kiulaiiiiini.......!😀
Last edited: