NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
- Final Magic 103 Cavs 90, hail to the King and have a nice summer, Duh vipi Magic Lakers? Wakulu mnasemaje?

- Kama kawaida mimi huwa ni mpenzi wa the underdog, nawafagilia Magic, au?

FMEs!

So far I'm kinda torn on this one (Lakers v Magic).....lakini nahisi Magic wataibuka kidedea...Go Superman
 
Dogo kweli alikuwa overated wanamuita King kabla hata ya kuingia fainali sasa tutaona kati ya Superman na Kobe nani zaidi
 
Ukweli ni kuwa Le Bron ana kiwango kizuri na sio sahihi kusema alikuwa overrated. Game ya leo ilikuwa ni tight sana no space, nadhani ktk Q4 alipata kama 6 or baskets only. Ktk mazingira kama yale inahitaji aibuke team-mate mwingine a-raise game. West na Williams walijitahidi lakini kiwango chao sio cha u-match-winner. Kama anataka kushinda vikombe itabidi aangalie mbeleni kuchezea timu yenye match-winners, sio akina Varijao.

Nway, finali ya LAL na OM itakuwa nzuri kutakuwa na faulo nyingi na tight defense. Kwa jinsi Lakers walivyoraise game yao when it matters kwenye last series, I bet they will go for Championship.
 
Ukweli ni kuwa Le Bron ana kiwango kizuri na sio sahihi kusema alikuwa overrated. Game ya leo ilikuwa ni tight sana no space, nadhani ktk Q4 alipata kama 6 or baskets only. Ktk mazingira kama yale inahitaji aibuke team-mate mwingine a-raise game.

Heshima mbele mkuu,

- He is overrated kwa sababu anasifiwa mno kuliko uwezo wake, angekua na uwezo tunaoambiwa anao basi asingekua mchezaji wa kiwango kizuri maana MJ anayelinganishwa naye kila siku hakuwa only kiwango kizuri, he was the best, huyu James ni mchezaji wa kawaida tu kama wengine, for now!, hii imethibitishwa na hizi game 6,

- Maana kule Kobe 6 games ameonyesha kwamba ni the best, na you know better kwamba kushinda kwa Lakers, ilikuwa ni Kobe the man, sasa huyu Lebron bado sana kufikia ligi na Kobe!

FMES!
 
Basketball is team game. Number za King James hazidanganyi zinaonyesha a true picture ya kipaji kikubwa katika uchezaji wake. Hata Michael Jordan alistruggle sana miaka yake ya mwanzo, kumbuka aliingia NBA 1985, kutokana na kutokuwa na supporting players wazuri hakuweza kushinda mpaka miaka 6 baadaye baada ya The Bulls kusajili wachezaji wazuri wa kumsupport Michael Jordan kama vile Pippen, Horace Grant na Bill Wright, Chicago Bulls walianza kupat mafanikio ya hali ya juu na kuchukua ubingwa kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia 1991 mpaka 1993 ambapo Michael Jordan aliretire kufuatia kifi cha Baba yake na alipomua kurudi tena kama sikosei 1995 walichukua tena kwa miaka mitatu kuanzia 1995 mpaka 1997. Cleveland inabidi msimu ujao watafute supporting players wazuri kama watatu au hata zaidi ili kumshawishi King James kubaki Cleveland vinginevyo anaweza kabisa kuamua kusajili na timu nyingine kama hana matumaini ya kushinda na Cleveland.
 
BAK,

Umemaliza yote nilitaka kusema. Kwa kuongezea tu, mwaka jana nadhani Kobe mwenyewe alitaka kubwaga manyanga baada ya kuona mambo yanazidi kwenda kombo. Le Bron ni mzuri na very athletic and physique, he can shoot from range, mzuri kwenye FT na penetration. Kama ulivyosema data zake zinaongea kuliko maneno ya akina sisi, na hata Dream team wanamkubali. He just need a right combination of players around him to win games and titles.

Kwa sasa Cleveland waoga ku-defend na hawana mtu anayejiamini na kupenetrate zaidi ya Le Bron. Wote waoga wanaishia ku-shoot from distance na bado shooting yao ni very poor. You cant win games with that for sure. Mchek Superman anavyong'ang'ania na ku-force vikapu. Cleveland hawana mtu wa namna hiyo.
 
Hilo la Kobe kutaka kubwaga manyanga Lakers ni kweli kabisa maana alidai hana supporting players wa kumuwezesha kushinda tena katika NBA finals. Baada ya kutamka hayo ndiyo management ya Lakers ikalipa priority hili la kutafuta wachezaji wazuri ili kumridhisha KB asiondoke na matokeo yake yanaonekana maana kwa mwaka wa pili mfululizo Lakers wanarudi tena kwenye NBA Finals.
 
BAK,

Umemaliza yote nilitaka kusema. Kwa kuongezea tu, mwaka jana nadhani Kobe mwenyewe alitaka kubwaga manyanga baada ya kuona mambo yanazidi kwenda kombo. Le Bron ni mzuri na very athletic and physique, he can shoot from range, mzuri kwenye FT na penetration. Kama ulivyosema data zake zinaongea kuliko maneno ya akina sisi, na hata Dream team wanamkubali. He just need a right combination of players around him to win games and titles.

Kwa sasa Cleveland waoga ku-defend na hawana mtu anayejiamini na kupenetrate zaidi ya Le Bron. Wote waoga wanaishia ku-shoot from distance na bado shooting yao ni very poor. You cant win games with that for sure. Mchek Superman anavyong'ang'ania na ku-force vikapu. Cleveland hawana mtu wa namna hiyo.

Kinachoniudhi mimi ni wajinga wajinga wanaodai eti LeBron ni mzuri kuliko Miachael Jordan. Hii ni dharau kubwa sana. Mafanikio na ubora wa mchezaji yanapimwa na matokeo.

Lengo la kucheza mpira wa kikapu ni kushinda ubingwa. Michael Jordan kashinda ubingwa mara 6. LeBron kashinda ubingwa mara ngapi?

Hands down Michael Jordan is the greatest player to ever play the game of basketball.
 
Aah hao wanatania tu. Hata hivo James bado mdogo, he has a promising future ahead kama akijituma zaidi.

BTW, ameshashinda olympic gold medal with the US of A(2008), therefore he is not a nobody.
 
Nyani King James ni mzuri lakini is too early kumfananisha na Michael Jordan na sidhani kama atafikia level ya Michael Jordan hasa katika leadership skills, determination na dedication ya kuhakikisha ushindi. Lakini naamini kabisa kwamba akipata supporting players wazuri ana uwezo wa kushinda katika NBA finals. Unakumbuka Kobe aliwahi kuitwa the next Michael Jordan? kelele hizo sasa zimepotea. Kobe ni mzuri lakini THERE WILL NEVER BE ANOTHER MICHAEL JORDAN.
 
Hakuna ambaye anakataa kwamba yeye si mali kitu. La hasha. Ila unapoanza kudai eti ni mzuri kuliko Michael Jordan unakuwa unacheza.
 
Nyani King James ni mzuri lakini is too early kumfananisha na Michael Jordan na sidhani kama atafikia level ya Michael Jordan hasa katika leadership skills, determination na dedication ya kuhakikisha ushindi. Lakini naamini kabisa kwamba akipata supporting players wazuri ana uwezo wa kushinda katika NBA finals. Unakumbuka Kobe aliwahi kuitwa the next Michael Jordan? kelele hizo sasa zimepotea. Kobe ni mzuri lakini THERE WILL NEVER BE ANOTHER MICHAEL JORDAN.

Enheeee hiyo ndo haoja yangu mimi. Unapoanza kulinganishwa na Michael Jordan au Michael anapoanza kuwa kipimo cha uzuri wako ktk uchezaji wa basketball basi ujue kamwe hutamfikia.

Anyway, LeBron gone fishin'.....kwikwikwikwiiiiii
 
Basketball is team game. Number za King James hazidanganyi zinaonyesha a true picture ya kipaji kikubwa katika uchezaji wake. Hata Michael Jordan alistruggle sana miaka yake ya mwanzo, kumbuka aliingia NBA 1985, kutokana na kutokuwa na supporting players wazuri hakuweza kushinda mpaka miaka 6 baadaye baada ya The Bulls kusajili wachezaji wazuri wa kumsupport Michael Jordan kama vile Pippen, Horace Grant na Bill Wright, Chicago Bulls walianza kupat mafanikio ya hali ya juu na kuchukua ubingwa kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia 1991 mpaka 1993 ambapo Michael Jordan aliretire kufuatia kifi cha Baba yake na alipomua kurudi tena kama sikosei 1995 walichukua tena kwa miaka mitatu kuanzia 1995 mpaka 1997. Cleveland inabidi msimu ujao watafute supporting players wazuri kama watatu au hata zaidi ili kumshawishi King James kubaki Cleveland vinginevyo anaweza kabisa kuamua kusajili na timu nyingine kama hana matumaini ya kushinda na Cleveland.

- With all due respect I begg to differ, kwa sababu huwezi kuwa na a team ambayo mchezaji mmoja analipwa mara kumi ya wengine, na anaruhusiwa ku-shoot as much as he wants lakini not kwa wachezaji wenzake, anakuwa na more input kwa timu as nani asajiliwe na nani asisajiliwe, simply kwenye capitalism hakuna such a thing as a team, hapana kuna individualism,

- Michael Jordan alikuwa na veto ya nani asajiliwe na nani asisajiliwe, infact hata ku-retire kwake mapema kule Bulls ilikuwa ni pamoja na kutaka Pipen apewe hela zaidi, na Rodman asajiliwe pia lakini Strauss akagoma kabisa na kumwambia kwamba Six-peat inatosha na kwamba anataka kwenda different direction na ku-rebuild,

- Ni mchezaji mzuri mmoja kama Kobe, ndiye anayeishia kuwafanya wenziwe wote kina Gasol, Odom na Bynum kuonekana wazuri, and tha t is what Michael Jordan did, Lakers ni team ya Kobe period, Magic ni team ya Howard, Cavs ni team ya Lebron, ndio maana jana amekimbia waandishi, kama sio Micgael Jordan wachezaji kama Steve Kerr, na Pipen, wasingefahamika kabisaaa,

- Ukweli ni kwamba hata Cavs wakitafuta wachezaji wengine hawatasaidia anything maana Lebron does not have it, hana the heart of the champion kama kina Kobe, Shaq na Jordan, Lebron amezishinda time za uchochoro lakini amekutana na ukuta amekwama, tizama Kobe amekutana na ukuta mzito sana Nuggets, sikutegemea anaweza kuwashinda, lakini in the end akawageuza wadosi yaani watupu ! Lebron hakuna wakati wowote wa hii series ameonyesha kwamba ana gutts za a champion, hata ile moja waliyoshinda ilikuwa ni Mungu nisaidie tu!

Again, kushindwa kwa Cavs ni ubovu wa Lebron sio wengine, yeye ndiye aliyetakiwa kuwafanya wachezaji wengine waonekane wapo, kama yeye amedoda kama jana basi hakuna matumaini, Cavs wasipoteze muda kwa sababu huyu kijana hana uwezo mkubwa sana wa huu mchezo, na hilo amelionyesha mwenyewe jana, kwamba ni mtupu! NBA must be embarrased after all the King's hype!

Respect.

FMEs!
 
1243753124.jpg

ORLANDO, Fla. (AP)— Lebron James walked off the court, head down, brushing off a few pieces of confetti. He ignored the few taunts by Magic fans and took one last look at the crowd without muttering a word.

Not to anyone.

A scintillating series by the NBA’s MVP was washed away by his not-so-supporting cast, as the Cleveland Cavs were eliminated Saturday night with a 103-90 loss to the Orlando Magic in Game 6 of the Eastern Conference finals.

James dressed quickly in the locker room, put on headphones and went to the team bus without talking to reporters. In obvious frustration, he let his play do all the talking.

James had 25 points, seven rebounds and seven assists in his least spectacular game of the series. He went scoreless in the second quarter, allowing the Magic to go ahead by 18 points at the half with little help from teammates.

“We can’t put it all on him,” Cavs forward http://sports.yahoo.com/nba/players/3003/news;_ylt=ApzcwSHz5zkAe7Ua57Wt1BKLvLYFJoe Smith said. “He needs some help.”

James averaged more than 38 points, eight rebounds and eight assists for the series, performances that are almost unmatched in league history. But he is starving for a wingman.

Still.

All-Star http://sports.yahoo.com/nba/players/3750/news;_ylt=Aj461rFFYWxAtSS8tvVrAnWLvLYFMo Williams was supposed to provide James with a go-to scorer. The Cavs were counting on Delonte West to be a prominent shooter under pressure, and a healthy Zydrunas Iglauskas was expected to be a solid inside presence.

None happened. Not when it counted.

That league-best, 66-win regular season disappeared against a Magic team that accounted for six of the Cavs’ losses this season, counting the playoffs. While West (22 points), Williams (17 points) and Ilgauskas (2 points) helped the Cavs trim the deficit to 11 in the third quarter, they again leaned heavily on James to make a comeback that never really felt close.

“You need a total team effort to win,” Magic forward Rashad Lewis said. “LeBron’s a great player, but at the same time, you need more than one guy. You need five guys. You need guys coming off the bench.”

For Cleveland, a city desperate for a championship after a 45-year drought, it’s the same old story—wait until next year. Even King James needs help in his court.

If not for some jaw-dropping moments by James, the Cavs might not have even extended the series as far as they did.

His unforgettable, buzzer-beating 3-pointer saved Cleveland in Game 2. James had 21 points in the second half—17 in the fourth quarter—in Game 5 and had a hand in 31 straight Cleveland points. He finished with 37 points, 14 rebounds and 12 assists in that game to become the first player since Oscar Robertson in 1963 to have such numbers in a playoff game.

But trying to carry an entire team proved to be too much.

“I don’t think it was just LeBron that was tired,” Cavs coach Mike Brown said. “I think it was everybody out on that floor. And LeBron logged 45 minutes for us.”

James has all summer to think about the series.

The Cavs will surely try to sign James to an extension this offseason before he can opt out of his contract in the summer of 2010. Whether the Akron, Ohio, native will re-sign now—or ever—with the Cavs will remain a mystery until then.

He might want some help first.

The Cavs were desperate for baskets throughout the conference finals, often letting James go 1-on-5 against the Magic in hopes he could find a way to win. But that only worked for so long.

“It’s very frustrating,” Williams said. “I think we both had a 50-50 chance of winning this series. I don’t think we was overmatched. They put us in a tough predicament.”

LeBron not enough to save Cavs from elimination - NBA - Yahoo! Sports
 
1243753124.jpg

ORLANDO, Fla. (AP)—

1. The Cavs were desperate for baskets throughout the conference finals, often letting James go 1-on-5 against the Magic in hopes he could find a way to win. But that only worked for so long.

2. LeBron not enough to save Cavs from elimination - NBA - Yahoo! Sports

- Sasa Cavs, wamwambie wazi huyu King James kwamba wanapunguza hela zake ili kutafuta wachezaji wengine wa kumsaidia, hawawezi kumpa hela zote hizo na 15% share ya timu mchezaji ambaye hawezi ku-deliver kama yeye, inatia aibu sana maana mimi ni mmoja wa wale walikuwa sold na hizo NBA's hype kwamba hapa kuna the new King in Lebron, kumbe midabwado tu!

- Sasa nawafagilia Magic kwenye Finali.

FMEs!
 
- With all due respect I begg to differ, kwa sababu huwezi kuwa na a team ambayo mchezaji mmoja analipwa mara kumi ya wengine, na anaruhusiwa ku-shoot as much as he wants lakini not kwa wachezaji wenzake, anakuwa na more input kwa timu as nani asajiliwe na nani asisajiliwe, simply kwenye capitalism hakuna such a thing as a team, hapana kuna individualism,

- Michael Jordan alikuwa na veto ya nani asajiliwe na nani asisajiliwe, infact hata ku-retire kwake mapema kule Bulls ilikuwa ni pamoja na kutaka Pipen apewe hela zaidi, na Rodman asajiliwe pia lakini Strauss akagoma kabisa na kumwambia kwamba Six-peat inatosha na kwamba anataka kwenda different direction na ku-rebuild,

- Ni mchezaji mzuri mmoja kama Kobe, ndiye anayeishia kuwafanya wenziwe wote kina Gasol, Odom na Bynum kuonekana wazuri, and tha t is what Michael Jordan did, Lakers ni team ya Kobe period, Magic ni team ya Howard, Cavs ni team ya Lebron, ndio maana jana amekimbia waandishi, kama sio Micgael Jordan wachezaji kama Steve Kerr, na Pipen, wasingefahamika kabisaaa,

- Ukweli ni kwamba hata Cavs wakitafuta wachezaji wengine hawatasaidia anything maana Lebron does not have it, hana the heart of the champion kama kina Kobe, Shaq na Jordan, Lebron amezishinda time za uchochoro lakini amekutana na ukuta amekwama, tizama Kobe amekutana na ukuta mzito sana Nuggets, sikutegemea anaweza kuwashinda, lakini in the end akawageuza wadosi yaani watupu ! Lebron hakuna wakati wowote wa hii series ameonyesha kwamba ana gutts za a champion, hata ile moja waliyoshinda ilikuwa ni Mungu nisaidie tu!

Again, kushindwa kwa Cavs ni ubovu wa Lebron sio wengine, yeye ndiye aliyetakiwa kuwafanya wachezaji wengine waonekane wapo, kama yeye amedoda kama jana basi hakuna matumaini, Cavs wasipoteze muda kwa sababu huyu kijana hana uwezo mkubwa sana wa huu mchezo, na hilo amelionyesha mwenyewe jana, kwamba ni mtupu! NBA must be embarrased after all the King's hype!

Respect.

FMEs!

Unaweza kuandika gazeti lenye kurasa hata 50 lakini ukweli ni kwamba namba hazidanganyi. Na namba za KJ ni nzuri zaidi kuliko za Kobe pamoja na kudai kwamba Kobe anawafanya wenzake wawe wazuri namba zake hazionyeshi hivyo bali ana suppoting players wazuri. Angalia hizi namba na Assist per game ni ushahudi wa kutosha ni nani katika ya KB na KJ anajitahidi kuwafanya wenzake wawe wazuri ili kuhakikisha ushindi wa timu

Points KB 34 per game KJ 38 per game
Assist KB 5.8 per game KJ 8 per game
Rebound KB 5.8 per game KJ 8.3 per game

Kamwe huwezi kuzipinga hizo namba na ndiyo msema kweli kati ya nani mzuri au ni nani anafanya jitihada kubwa kuhakikisha wemzake wanakuwa na contribution kubwa kwenye ushindi wa timu.

Hata kobe alipoona hana supporting player wazuri alitishia kuondoka, labda na KJ afanye hivyo ili management ilipe hilo priority.

One of the best players the Lakers have ever had, Kobe Bryant, made public that he wants out of the team.

During a radio interview with ESPN, Bryant admitted he had requested to be traded, after calling the main office of the basketball team a mess. His multimillion dollar contract, however, has four years left, out of the seven he signed under.

The whole controversy started when an L.A. reporter quoted an insider from the Lakers saying that Shaq's trade to Miami was triggered by tensions between him and Kobe. But according to Kobe Bryant, in his conversation with coach Phil Jackson, reducing of payroll and a long term plan was the explanation behind this.

On Tuesday, Bryant did a series of radio interviews bashing the Lakers. He insisted the owner Jerry Buss misled him three years ago, saying the team would try immediately to rejoin the NBA's elite by signing good players.

Kobe Bryant has won three consecutive NBA championships with the Lakers.

Namba bila ubingwa zina maana gani?

Kwa hiyo wachezaji wa timu nzima wanaweza kila mmoja akaproduce 10 points per game na bado wakapata ushindi!!!! LOL! Hebu uliza bila excellent number za Michael Jordan akisaidiwa na akina Pippen, Horace grant na Rodman kwenye reboubds hivi unadhani Bulls wangeweza kudominate NBA miaka ile!?
 
Unaweza kuandika gazeti lenye kurasa hata 50 lakini ukweli ni kwamba namba hazidanganyi. Na namba za KJ ni nzuri zaidi kuliko za Kobe pamoja na kudai kwamba Kobe anawafanya wenzake wawe wazuri namba zake hazionyeshi hivyo bali ana suppoting players wazuri. Angalia hizi namba na Assist per game ni ushahudi wa kutosha ni nani katika ya KB na KJ anajitahidi kuwafanya wenzake wawe wazuri ili kuhakikisha ushindi wa timu

Points KB 34 per game KJ 38 per game
Assist KB 5.8 per game KJ 8 per game
Rebound KB 5.8 per game KJ 8.3 per game

Kamwe huwezi kuzipinga hizo namba na ndiyo msema kweli kati ya nani mzuri au ni nani anafanya jitihada kubwa kuhakikisha wemzake wanakuwa na contribution kubwa kwenye ushindi wa timu.

One of the best players the Lakers have ever had, Kobe Bryant, made public that he wants out of the team.

During a radio interview with ESPN, Bryant admitted he had requested to be traded, after calling the main office of the basketball team a mess. His multimillion dollar contract, however, has four years left, out of the seven he signed under.

The whole controversy started when an L.A. reporter quoted an insider from the Lakers saying that Shaq's trade to Miami was triggered by tensions between him and Kobe. But according to Kobe Bryant, in his conversation with coach Phil Jackson, reducing of payroll and a long term plan was the explanation behind this.

On Tuesday, Bryant did a series of radio interviews bashing the Lakers. He insisted the owner Jerry Buss misled him three years ago, saying the team would try immediately to rejoin the NBA's elite by signing good players.

Kobe Bryant has won three consecutive NBA championships with the Lakers.

- KB ana rings ngapi na KJ anazo ngapi mkuu? Kama ni namba basi muhimu ni za ubingwa sio assist, au? Kutoka au kubaki kwa KB Lakers haku auhusiano wowote na uwezo wake mkubwa wa kucheza.

- KJ hana ring hata moja, Kobe anazo tatu tayari na sasa anakaribia kuvaa ya nne, huku KJ anaelekea vekesheni!

FMEs!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom