BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
- Thread starter
- #961
- Mkuu anayejua kuhusu uchezaji wa wachezaji wanapokuwa uwanjani ni watazamaji, sio anayecheza kwa hiyo naomba kusisitiza kwamba msimamo wangu upo pale pale kwamba huyu kijana Lebron ni overrated mno, hajafikia bado sana panapotakiwa. Sio lazima Magic Johnson akubaliane na mimi, ila anaweza kukubaliana na wewe sina noma!
Respect.
FMEs!
ha ha ha ha LOL! Eti watazamaji ndiyo wanajua kuhusu wachezaji haya!!! Umenikumbusha mtazamaji mmoja pale Bongo katika mechi ya soka uwanja wa Taifa. Alikuwa anasema sasa hawa mbona wote wanagombea mpira mmoja tu!! Kwanini kila mmoja asipewe mpira wa kwake akachezea mwenyewe badala ya kugombea mpira mmoja!!!! watu walimkata macho hakutia neno tena!!!! ha ha ha ha Hivi unafikiri kweli watazamaji watakuwa katika nafasi nzuri ya kutoa opinion ya performance ya mchezaji kuliko legends kama akina Barkely, Magic Johnson, Ewing, Karl Malone, Air Jordan n.k.!? Ha ha ha ha ha ha hii ya leo kali!!! 🙂