Naona Klay Thompson amevunja record ya highest points at a quarter.. Kapiga 37 Q3. Sio Jordan wala Kobe wala LeBron ashafanya hivo. Sioni timu ya kuisimamisha Golden State Warriors this season..
Hakika Kijana alikuwa on fire.....
Acha kabisa.. Hawa Warriors ni aibu asee.. Game ya 17 wanashinda wakiwa home in a raw.
Naona Klay Thompson amevunja record ya highest points at a quarter.. Kapiga 37 Q3. Sio Jordan wala Kobe wala LeBron ashafanya hivo. Sioni timu ya kuisimamisha Golden State Warriors this season..
...labda majeruhi tu, vinginevyo ubingwa ni wa kwao mwaka huu.
Kabisa mkuu... naisubiri game yao ya leo dhidi ya CELTICS.. Hii timu nimetokea kuipenda ghafla
Naona Klay Thompson amevunja record ya highest points at a quarter.. Kapiga 37 Q3. Sio Jordan wala Kobe wala LeBron ashafanya hivo. Sioni timu ya kuisimamisha Golden State Warriors this season..
...labda majeruhi tu, vinginevyo ubingwa ni wa kwao mwaka huu.
Kuna game nzuri kati ya Cleveland na OKC inaanza in 45 minutes hii itakuwa na ushindani wa hali ya juu.
Mkuu kwanza ndio middle of the season...plus,ni game ya kuotea toka kwa Klay,dogo ni mzuri lakini sio kwa consistence kama ya Curry night in night out...ni just one game people
Hii partnership ya curry, Thompson, Green na bogus ni balaa
Mzee BAK huwezi kuwapa ushindi fasta namna hiyo....ni just one increadible game from Klay...na hiyo kushinda 15 games in a row sio tatizo,ni katikati ya season wakuu...
Hawana serious Centre ambapo Andrew Bogut kila siku mgonjwa...bila centre na enough size playoffs huoni ndani
...labda majeruhi tu, vinginevyo ubingwa ni wa kwao mwaka huu.
Bila ubishi wowote nasadiki maneno yako.. Ila pia Clay sio mbaya kiivo.. ni 3 point shooter mzuri sana mkuu. Lakini pia hii game imemchangia kufunga hivi sababu Curry ilimkataa so akawa anaamua kumu'assist Klay tu. Almost 5 of his 9 3 points Curry ndio ka assist. Curry ana balaa la peke yake yule dogo