hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
hekimatele, please live up to your name, haitabiriki kwa nani? Indicators zote zilionesha toka mapema
kwamba GSW wanachukua. Ni doubters tu kama Nyani Ngabu hawakuwa na ujasiri wa kuukabili ukweli
huo. Wengine toka regular season we had no doubts whatsoever na kweli siku zilivyosonga ndivyo ukweli
ulivyozidi kudhihirika. Oops, kumbe niliishaaga...kwaheri, see ya all next season.
Ungenisoma vizuri ungeelewa vema.
Nimesema msimu huu GSW wameutwaa. That's good.
By the fact that hii game haitabirikagi nimemaanisha next season huwezi jua nani atakuwa mshindi wa season.
Au bado unadhani kuwa hawa madogo wana chance ingine ya kuutwaa msimu ujao?
Kila mtu ana nafasi kubwa ya kushinda msimu ujao.
Narudia tena hili game halitabirikagi