Ushindi raha sana teh teh kama hujawahi kushindana hutaweza jua
Daaah ina maana Curry ataendelea kulipwa ile ile 10M mpaka mkataba wake uishe sio??
Wampe hata vibonus asee..
Kesho Ijumaa ni siku kubwa Oakland na Bay Area nzima. San Francisco ndio usiseme, ni partying hadi liamba. Hata hivyo si tabia nzuri kuuchukua ubingwa nyumbani kwa mwenzio, hii hata mimi sikuipenda. Wangeendeleza torture tu kama kawaida lakini kwa kutanguliza japo kahuruma kwa the best player in the world, King James.