NBA Season 2014/2015

LITTLE DID HE KNOW..........
[video]https://vine.co/v/ee02YzOpEK7[/video]
 
This parade is one of a kind...I'm lovin it. .
 
This parade is one of a kind...I'm lovin it. .
Bahati mbaya siwezi kuwapasha yanayoendelea hapa, nicelebration mtindo moja. Watu wamebanana hadi kujaribu kutuma chochote Ni kama adhabu Tu. Oakland oyee, Golden state oyee, Warriors oyee...mpaka baadaye.
 
Enjoy the moment to the fullest. .
 
Introduction hiyo, mwishoni kabisa anaingia Stephen Curry!
 
Mkiangalia sana kwenye umati huo hamtakosa kuniona, nimevaa miwani na T-shirt ya Blue...LOL!
 
Last edited by a moderator:
Enjoy it to the fullest.. Umetuwakilisha mimi na Tyta

Hapa najihisi kama nipo Bay Area..owner anamwaga speech la kufa mtu...cant wait for Leandro Barbarosa..with his now infamous line.."we gonna be championship"..ndiyo habari mjini ..
 
Last edited by a moderator:
Executive Chairman (Mwenyekiti Mtendaji) wa GSW kapewa nafasi...anaitwa the best story teller in the world! Ngoja nimsikilize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…