Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Good game on TNT SA Spurs na Cleveland 3rd quarter 2.37 minutes to go, Spurs 82 Cleveland 75
Japo Spurs wamepoteza hii game ila naona they picked themselves kurudi at their best.. Hawatafika mbali sana ila kwenye play offs watasumbua sana
Dah! Sikuamini macho yangu nilipokusoma hapa ilibidi nikusome mara mbili niliacha kuangalia zikiwa zimebaki dakika chache huku Spurs wakiongoza 108 to 104 nikiambini mchezo umekwisha na jinsi walivyokuwa wanazitungua tatu tatu aisee, kusema kweli Cleveland wanahitaji pongezi za hali ya juu sioni timu ya kuwasimamisha kwenye Conference yao kama wao watakuwa healthy na Atlanta watakuwa healthy basi advantage nitawapa Cleveland ila kitu ambacho kinaweza kuwaumiza ni home court advantage ambayo kwa sasa wanayo Atlanta.
Cavs is a team to watch kule East... nadhani wao na Atlanta ndio watasumbua kwenye play offs kuliko hawa wengine
Mchezo ulikuwa mzuri sana ila Spurs wanavyozitungua tatu tatu sidhani kama kuna timu nzuri kama wao kwenye accuracy ya 3 points.
Kuna Uttah Jazz nao ni wazuri sana kwenye 3 points..
Sijawahi kuwaangalia hawa msimu huu timu yao siku hizi ni mdebwedo ukilinganisha na enzi za akina Karl Malone, ila kuna mechi ambazo wameshinda msimu huu nilishangaa, sikutegemea washinde ngoja nitaanza kuwafuatilia.
Dah! Sikuamini macho yangu nilipokusoma hapa ilibidi nikusome mara mbili niliacha kuangalia zikiwa zimebaki dakika chache huku Spurs wakiongoza 108 to 104 nikiambini mchezo umekwisha na jinsi walivyokuwa wanazitungua tatu tatu aisee, kusema kweli Cleveland wanahitaji pongezi za hali ya juu sioni timu ya kuwasimamisha kwenye Conference yao kama wao watakuwa healthy na Atlanta watakuwa healthy basi advantage nitawapa Cleveland ila kitu ambacho kinaweza kuwaumiza ni home court advantage ambayo kwa sasa wanayo Atlanta.
The Spurs really know how to blow up last seconds fourth quarter leads.
Msimu huu pekee washa-blow up kama leads 9 tisa hivi.
.....labda ndio umri huo umeanza kuonyesha its ugly face....but they still have some young players who can go toe to toe with any team.
Sidhani kama ni umri aisee.
Unakumbuka game 6 ya finals za 2013? Zikiwa zimebaki sekunde chache sana Spurs watwae ubingwa Ray Allen akatungua 3-pointer na kusababisha kwenda overtime, Heat wakashinda na kukawa na game 7.
Ingekuwa umri ni hoja finals za 2014 wasingeshinda finals kwa margin kubwa namna ile kuwahi kutokea katika historia ya NBA finals tena dhidi ya hao hao Heat.
Jana Kawhi Leonard alikosa free throws kama tatu hivi katika sekunde za mwisho mwisho kabisa ambazo kama angezitungua [hata moja tu] wangeshinda.
Wana ka uzembe flani hivi ikifika mida ya lala salama.
Cavs wamerudishwa kwenye Title race BAK Tyta mnasemaje hapo.. Naona timu ya Nyani Ngabu Hawks imetupiliwa mbali.. Cavs wako favored kushinda mbele ya GSW na Spurs