NBA Season 2014/2015

Kick ass performance by Spurs.

NBA haihusishi hizo team kwani? West coast na East coast?

Pale umeweka picha halafu ukauliza swali as if jibu wataka litoke katika picha uloweka...

NBA ni ligi yenye mjumuiko wa timu mbalimbali ya majimbo kutoka mashariki na magharibi mwa Marekani bila kusahau Toronto Raptors ambayo ipo Totonto...

Wakati wa mechi ya All Star ndipo magwiji wa Mashariki na Magharibi hutengeneza timu kwa mtindo wa kupigiwa kura na mashabiki na timu hizo mbili hukabiliana...
 
Agreed, but I don't think Spurs' domination will last for 48 minutes. Steph Curry where are you bro? Your team needs you.

Spurs were showing their true form once again... Play offs patachimbika. Kwa hii form ikibakia hivihivi hakuna atakayewakalisha
 
Reactions: BAK
Kick ass performance by Spurs.

That was a real tour de force!

I think now all other contenders have been put on notice.

Can't wait for the playoffs to get here.
 
Reactions: BAK
Yeah! If they stay healthy I don't see any team East or West to stop them.

That was a real tour de force!

I think now all other contenders have been put on notice.

Can't wait for the playoffs to get here.
 
BAK Raimundo hahaha kuna jamaa mmoja wa Spurs alikuja humu akijinadi bado anaiamini Spurs lakini tulimfukuza kwa kejeli kwelikweli.. hahaha ila huu moto wao wa karibuni GSW, Rockets, OKC wote wamekaa vibaya mno
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Mie naona East nitawashabikia CAVS na West nitakuwa pamoja nawe kwa GSW. Spurs sina mchecheto nao kabisa hata enzi za David Robinson.

BAK Raimundo hahaha kuna jamaa mmoja wa Spurs alikuja humu akijinadi bado anaiamini Spurs lakini tulimfukuza kwa kejeli kwelikweli.. hahaha ila huu moto wao wa karibuni GSW, Rockets, OKC wote wamekaa vibaya mno
 
Spurs wanatisha kama watacheza playoffs kama walivyocheza kwenye mechi zao za karibuni basi kutakuwa na sweep at least round ya kwanza na ya pili ya playoffs.

Ngoja tuone maana jamaa nimeanza kuwaogopa sasa
 
Ngoja tuone maana jamaa nimeanza kuwaogopa sasa

Spurs wanajua aisee! Jamaa wanachofanya ni kuhakikisha wanawafrustrate key players wa opposing team huku wao wanashare mpira bila tabu!

Bado ninaamini GSW hawezi kusimama kwa Spurs! Memphis amedrop siku za karibuni, nilikuwa nawakubali kwa defense pia! Sina uhakika na kina Harden maana, na kama D12 atakuwa fit kwenye playoff! Wengine kama LAC, Portland, Dallas ni showoffs tu!
 
Spurs wanatisha kama watacheza playoffs kama walivyocheza kwenye mechi zao za karibuni basi kutakuwa na sweep at least round ya kwanza na ya pili ya playoffs.

Na ndio uwoga wangu nilipoujenga hapo.. kama wataendelea na hii form sioni wa kuwakalisha hata hao Cavs..
 
Ila H-2-H Spurs kapigwa sana na GSW kwenye regular season.. Spurs naamini hawezi kushinda pale Oracle na GSW wanahitaji kutulia tu wakikutana nao. Wasiwe na presha ya mchezo, Klay nae anatakiwa arudi kwenye form tu maana naona kipindi cha hivi karibuni Klay kapotea kidogo. West sina wa kumwogopa zaidi ya Spurs pekee
 
Yo...kuna mtanange mkali sana wa Spurs vs Rockets sasa hivi NBA TV.

BAK
u watching?
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…