Yo...kuna mtanange mkali sana wa Spurs vs Rockets sasa hivi NBA TV.
BAK u watching?
.....like father like son
Haya playoffs ndo zinaanza wiki hii.
Until someone knocks out the reigning and defending champs, I'm still gonna roll with them.
Shout out to my ATL Hawks....can't hate on the hometown team.
Najiuliza Msimu next season ataweza tena kuvunja hii record aliyoweka majuzi..
And play offs is here, Raimundo is backing Spurs at West, Nyani Ngabu yuko na ATL lakini wote tunaamini Cavs watapita.
Najiuliza Msimu next season ataweza tena kuvunja hii record aliyoweka majuzi..
And play offs is here, Raimundo is backing Spurs at West, Nyani Ngabu yuko na ATL lakini wote tunaamini Cavs watapita. Mimi na Tyta tupo GSW, Mkuu BAK wewe najua upo na Cavs. Vipi akina Watu8 Janjaweed sielewi wakuwapi wao
Hiyo hukuiona?
Mimi toka mwaka juzi nipo kwenye bandwagon ya Spurs.
Support yangu kwa ATL ni adopted hometown loyalty tu.
Narudia tena kusema "Until someone knocks out the reigning and defending champs, I'm still gonna roll with them."
Na FYI, sasa hivi wao (SA) ndo number two seed kwenye Western conference.
They are peaking right in the nick of time.
Barring any injuries to their starters, they are going to be every team's kryptonite.
Naamini atavunja tena msimu ujao kama atakuwa healthy msimu wote hajafikia peak labda miaka miwili au mitatu ijayo. Mie niko nawe Mkuu ila East nataka watoke CAVS ili tuone fainali ya kukata na shoka labda mpaka game 7.
MImi ni ile LeBron team, team the KING!!
Ila hii late fire ya spurs inatisha sana
Hahahaha lets hope SA and ATL will meet on finals then.. Good luck
Ever heard of a 'good problem' to have?
Such a match-up would qualify as one as far as I'm concerned.
But none of them would be on finals..
GSW vs Cavs is way predictable..
Experience matters a lot in playoff basketball and SA has plenty of it.
GSW can't win at the AT&T Center but SA can win at the Oracle Arena.
Experience, experience, experience.
Looking forward on that to the finals.. LJ atakubali tena kukaa kwenye hizi finals?? Ni suala la muda tu
Spurs ameshawaogopesha watu wengi kule West.. Within a week Rockets wamekaa game mbili kwao, ni hatari