NBA Season 2014/2015

Oracle arena's atmosphere is like a party,too much noise
 
daaaaaaaaaaaaaamn......................18pt lead
 
tyreke evans...injury,wont return...tehteh...cant get any better....
 
end of 3rd quarter...18PTS LEAD......
 
Despite a difficult,a win is a win...go gsw
 
Reactions: BAK
Wizards weshatoa bikra mtu

Paul Pierce kawachanganya kwa trash talking na kawa best performer kwenye game!

Inaweza kuwavunja moyo? Au kuwapanikisha?

Ngoja tuone game 2!
 
Chezeya playoffs Mkuu, GSW karibu waadhirike nyumbani, 2 more games to go later today.

Despite a difficult,a win is a win...go gsw
 
Tukiwapiga game ijayo pale kwao basi tutakuwa tushapita kirahisi kabisa..

Game ijayo bado mtakuwa Home! Nyie dawa yenu ni Spurs!

Mike Conley na Tony Allen wamepona pia, so Memphis is back to his strength!
 
Game ijayo bado mtakuwa Home! Nyie dawa yenu ni Spurs!

Mike Conley na Tony Allen wamepona pia, so Memphis is back to his strength!

Aaaahh kumbe home court advantage..

Spurs tangia wametembelewa na hawa Pelicans wala siwaogopi tena..

Ngoja akina CP wanitengulie Tony Parker basi shughuli yao iishe..
 
Reactions: BAK
Aaaahh kumbe home court advantage..

Spurs tangia wametembelewa na hawa Pelicans wala siwaogopi tena..

Ngoja akina CP wanitengulie Tony Parker basi shughuli yao iishe..

Wale wazee usiombe kukutana nao, kina CP wakienda sana ni 6 games.
 
Ni aje Mkuu? Mbona unasahau kama GSW wana home court advantage throughout the playoffs?

Aaaahh kumbe home court advantage..

Spurs tangia wametembelewa na hawa Pelicans wala siwaogopi tena..

Ngoja akina CP wanitengulie Tony Parker basi shughuli yao iishe..
 
Ni aje Mkuu? Mbona unasahau kama GSW wana home court advantage throughout the playoffs?

Nilishapitia.. unajua hii come back ya Pelicans ilinichanganya kidogo..

Kutoka 18 mpaka 7 si mchezo..
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…