NBA Season 2014/2015

dah, Clipper wamenisurprise kabisa.. wamempiga jamaa kwao

aisee
 
teh teh....Na kidogo wampoteze KD....



Naona baada ya Mark Jackson kutamka kwamba anadhani James Harden ndo atakuwa MVP, Curry hajamtaja mahali popote kwenye speech yake.
 
Naona baada ya Mark Jackson kutamka kwamba anadhani James Harden ndo atakuwa MVP, Curry hajamtaja mahali popote kwenye speech yake.

Ni kweli...ila itafahamika tu kama alikusudia au lah...hata hivyo Mark Jackson naye kwa position na uhusiano alionao na SC ...sometimes inabidi ufunike kombe...ni kama ya Klove na LeBron. ..kwasasa wanaonekana wako poa tu.ila yatakuja kufahamika baada msimu kuisha..
 
dah, Clipper wamenisurprise kabisa.. wamempiga jamaa kwao

aisee

I was pleasantly surprised as well.

Especially without their court general CP3.

Now, it could be one of two things.

1) Either the Clips played a helluva game

Or

2) The Rockets just played a god-awful game.

Question is: which is which?

We shall find out.....
 
Mkuu Nyani Ngabu asee kuwa mshindi NFL inapokuja suala la Draft unajikuta unaambulia some last place pickings ambazo dah kwa upande mwengine kaz kweli kweli kujua ka wataleta any impact on Pats game. Nimechungulia kwa fasi draft picks zetu, asee labda timu zikubali some trade-offs! Ila I always trust Bellichick!
 
Last edited by a moderator:

No worries my ninja. In Belichik I trust.


Tom Brady alikuwa pick ya 199 kwenye raundi ya 6 sita huko.


Peyton Manning ndo alikuwa namba 1 overall mwaka 1998.


Sasa hebu linganisha careers zao.


Rob Gronkowski alikuwa picked kwenye raundi ya pili.


Hata Richard Sherman hakuwa first rounder.


Draft picking siyo exact science hata kidogo.
 
Dah nashukuru kupata mind-assuring opinion, bruv.

Ila mpaka leo hii mi naona ka design flani hivi hatujaweza 'get off our backs' mzimu wa 2 defeats to the Giants, kiasi kwamba nakumbuka kuna mzee moja hivi mwandishi alimtania TB12 kwamba (I quote here) "I think now we know the Pats formular to win SBs... Just Don't Play the Giants". TB12 alicheka tu kishakaji, ila mi lile kwangu lilikuwa more than utani. Unaliongeleaje hilo, ariff!.
 

That 2007 undefeated season ended in a crushing heartbreak.

Mi mpaka leo bado nayasikilizia maumivu na kui replay ile catch ya David Tyree. Yaani kama Rodney Harrison angeugonga kidogo tu ule mpira ili iwe an incomplete pass game ingewa over kwa sababu ilikuwa ni fourth down.

Sitaki tena kukutana na Eli Manning kwenye Super Bowl.
 
Leo ATL wamejaribu... Game 3 is going to be a different game kabisa
 
it was an emotional night..hopefully the Dubs will regroup and comes stronger than ever.........
 
it was an emotional night..hopefully the Dubs will regroup and comes stronger than ever.........

The series will be so interesting if Conley keeps playing the rest of the series.
 
The series will be so interesting if Conley keeps playing the rest of the series.

He really made an impact..However it was a flat performance made by the newly crowned MVP....I am optimistic however. .they will definitely bounce back..
 
He really made an impact..However it was a flat performance made by the newly crowned MVP....I am optimistic however. .they will definitely bounce back..

Let's wait and see, but this is one difficult series to GSW, Memhis have their way of putting pressure to Clay and Curry such that their shooting % drop.

Game 3 will give us some indication on who will win the series.
 

Af everytime we met with them, it's like the Fates are always on their side. Coz, I just (still today) understand how come twice meeting them, they end up with a decisive drive that determines the game winner!?. It's like Eli & Co. wana kismati coz ukiwaangalia vizuri season nyingi wao ni average performers.

Yan, sijui ndo bad psyche walituachia 2 times we met with them!!. Of all the QBs in the league, I hate the prospect of meeting with Eli more than his bro, Payton and all the rest combined.
 
Bruv Nyani Ngabu sio mbaya tukiroll na hii hype ya #1 in PRs mpaka September
 

Attachments

  • 1430903452467.jpg
    37.1 KB · Views: 36
Last edited by a moderator:

Mwaka huu tutacheza na Giants kwenye regular season.

Sina uhakika kama mechi itakuwa Foxboro au MetLife stadium.

But I can't wait.

Halafu kwenye head to head match up kati ya Tom na Peyton, Brady is 11-5.

So it's safe to say Tom owns Peyton.
 
Mwaka tutacheza na Giants kwenye regular season.

Sina uhakika kama mechi itakuwa Foxboro au MetLife stadium.

But I can't wait.

Halafu kwenye head to head match up kati ya Tom na Peyton, Brady is 11-5.

So it's safe to say Tom owns Peyton.

That's Peyton! The little fellah is always the one that's bring the house shaking. Ila yote 9-10, nlifurahi kinyama tulivyoanza wanyamazisha doubters, media, na haters kwanzia pale mzee (BB) alivyosema "We are on to Cincinnati". Kuna clip Youtube ni more than inspirational jinsi tulivochange faces fasta from "is-this-the-end-of-the-dynasty" perspective to "this-is-the-Dynasty" perspective.
 
Hawa mbona wataleta uzinguzi tena?!
 

Attachments

  • 1430934384484.jpg
    76 KB · Views: 28
Hawa mbona wataleta uzinguzi tena?!

I had forgotten about 'Deflategate'.

And the findings are not even definitive.

That's why they used the words 'more probable than not'.

Because, if they had any hard evidence the language would definitely be more definitive.

It's much ado about nothing.
 
Whatever they come up with, it'll always be remembered down to the books of NFL history that, for the last decade the Pats have hold their crowns as the only dynasty till today. Hawks tried but couldn't pull the feat off!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…