Hivi kwa nini huyu Paul Pierce bado anacheza basketball?
Damn him.
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....Chezeya Paul Pierce weye!
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chezea ATL wewe:becky::becky::becky::becky:
What a wild finish though.....damn!
Hahahahahaha lol! Mapesa mingi and he can still play the game.
LOL! utalala usingizi mnono leo tayari kumuwahi kisura asubuhi. Kuna wakati nilishahitimisha Hawks hawatashinda leo....What a game!
Pheeeeewwwwww.
Ila PP hafai kabisa aisee.
Naombea Ijumaa aumwe mafua makali sana hadi ashindwe kucheza:becky:.
Jamaa mbaya sana aisee kwenye kutungua tatu, ukimsahau tu akipata sekunde chache za kurenga, kukunja magoti kidogo kisha kujirusha basi huwa hakosi. Mhhhhh! Raha ya kushinda opponent wako lazima awe full muziki vinginevyo raha ya kuwatoa inapoteza ladha lol! Haya ngoja tuangalie hii game nyingine. Naona ushaanza kusinzia :sleepy::sleepy::sleepy:
A strange day... poor performance from both teams, not sure watasimamaje na Cleveland au Bulls kwa carelessness kama ya leo
Najutia usingizi wangu
Paul Pierce kwenye clutch moments ni mbaya sana aisee.
Na game ya leo Hawks wameshinda kwa sababu muda ulikuwa mchache mno baada ya Al Horford kutumbukiza kile kikapu kwenye sekunde za mwisho.
Laiti Wizards wangekuwa na sekunde za kutosha ku advance mpira hadi upande wa Hawks huenda tungekuwa tunaongea habari zingine sasa hivi.
And on that note, I will call it a night.