Hakuna aliyewategemea hawa wawepo hapo walipo, surprise team of the season. Sasa wameshajenga confidence ya hali ya juu kwamba they can compete with any team in NBA. Kama hawatakuwa na majeruhi wa kutisha wanaweza kwenda mbali sana kwenye playoffs huku kizingiti kikubwa kikiwa Cleveland.