END OF 1ST QUARTER....GSW 32 MEMPHIS 19......SIX TRIPLES ONLY IN First quarter...
''Only guy comparable to @StephenCurry30 with ball is Lionel Messi. It's like they play by different rules than everyone else in game''ivan maisel
Hii game ya GSW vs Memphis pamoja na GSW kuwa moto naona kama itaisha kwa Memphis kushinda na ku-force game 7....
Ngoja uone Quarter 3 watakavotunguliwa hao Memphis... Game inaisha Quarter 3 hiyo
Leo Klay yupo moto na Curry kama kawaida yake unategemea Memphis watashinda??
Mkuu ninahisia tu kuwa Memphis atashinda...
So far sina sababu yoyote ambayo iko na technical reasons...