Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Steph curry the chef ni noma sana,looking foward to the finals vs LA or Rockets.....madogo wamekamua sana
What do these fellas have in common??....
Patty Mills (55) -1st round Western Conf Playoff
Danny Green (46)-1st round Western Conf Playoff
DeMarre Carroll (27)-Eastern Conference Finals
Taj Gibson (26)-2nd Round Western Conf Playoff
Jeff Teague (19)-Eastern Conference Finals
Jrue Holiday (17)-1st Round Western Conf Playoff
DeMar DeRozan (9)-1st Round Eastern Conf Playoff
Stephen Curry (7)-Western Conference Finals
Tyreke Evans (4)-1st Round Western Conf Playoff
James Harden (3)-2nd Round Western Conf Playoff
Blake Griffin (1)-2nd Round Western Conf Playoff
cc:Hasheem Thabeet #Classof2009
Kwa watu wanaojua mchezo Steph Curry yuko katika daraja la pekee, anaweza kulinganishwa tu na Pele wakati wake kwenye soka. Dawa pekee ya kuwazuia hawa watu ni kwa kutumia mchezo wa rafu na manguvu kama Waingereza walivyomfanyia Pele.
You are very right. Curry bado hajaongoza timu yake kushinda NBA championship hata moja.Curry bado ana muda wa kutosha kutuonyesha uwezo wake na mpaka hapo atakapoacha ndo labda tutaweza kuitathmini career yake na kuona anaangukia wapi.
No, I am not a prisoner of the moment, of which I don't think you understand.For now I think you are just being a prisoner of the moment, of which I can understand.
It depends...you could be right and you could be wrong.You are not all alone in that regard.