Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
You are very right. Curry bado hajaongoza timu yake kushinda NBA championship hata moja.
No, I am not a prisoner of the moment, of which I don't think you understand.
It depends...you could be right and you could be wrong.
I knew I was right.
If you are not being a prisoner of the moment then why are you placing him so high on a pedestal when he doesn't even have a ring yet?
Curry is not even on LeBron's level yet! And you're going claim that he is the Pele of basketball?
You can't be serious.
I know for a fact I'm not wrong on that.
Naongelea kimchezo na si mafanikio. Nilimshuhudia live Pele akicheza na nimemshuhudia live Curry akicheza...naongelea kipaji chao cha uchawi wa ku"control ball" either kikiwa mkononi au mguuni.
Mtu kama LeBron, kwa mfano, anaweza kufanikiwa zaidi sana lakini hatamfikia Curry kwa uchawi wa ku"control" mpira.
Kwa watu wanaojua mchezo Steph Curry yuko katika daraja la pekee, anaweza kulinganishwa tu na Pele wakati wake kwenye soka. Dawa pekee ya kuwazuia hawa watu ni kwa kutumia mchezo wa rafu na manguvu kama Waingereza walivyomfanyia Pele.
Only one difference, LeBron bulldozes his way, Curry maneuvers his way just like Pele did. There are players who wouldnt have gotten where they are except for their sheer brute strength. Of course Jordan was exceptional.Michael Jordan je?
Hata sasa hivi LeBron ndo anakubalika kuwa ndo the best basketball player in the world licha ya Steph kushinda MVP.
Jordan angeweza kupata ushindani toka kwa Len Bias kama maisha yake yasingekatika kabla ya wakati.
Lakini clearly kwenye basketball mpaka sasa hakuna aliye kama Jordan.
Anyway, nadhani unachoongelea wewe ni suala la kimtazamo zaidi na nadhani watu wengi wanamkubali Jordan kuwa ndo mchezaji mzuri/ bora wa kikapu kupata kutokea.
Ila nakubali kuwa kwa msimu huu Curry kajitahidi sana na anastahili accolades zote alizozipata.
Kumwangalia Curry akicheza ni kama kumwangalia Messi akicheza.. LeBron got his rings akiwa na watu kama Bosh na Wade (wote ni All Star). Curry anapata ring yake mwaka huu akiwa na watu Klay and Green.. Curry kashaweka records nyingi tu, Curry pia kaisaidia GSW kuweka record nyingi pia..
Nawaza tu kama GSW ingekuwa na 3 All Stars (Curry, Westbrook, Klay) kama Miami walivyokuwa (Bosh, Wade, James)
Only one difference, LeBron bulldozes his way, Curry maneuvers his way just like Pele did. There are players who wouldnt have gotten where they are except for their sheer brute strength. Of course Jordan was exceptional.
I understand, if to you, that is all basketball entails; the end justifies the means. To me, I enjoy the elegance, the charm, the grace and the magic displayed in the execution by players like Curry.But LeBron is almost the total package because he packs a lot of strength, he's got the height, skill, agility, and other intangibles necessary to attain success.
He also happens to be the best shooter from the line...almost 90%.To me, the most impressive thing about Curry is his three point shooting abilities.
No other dude comes even closeHe does it so effortlessly that it is almost surreal.
Agreed.Dude is a sniper.
So far he holds the record...remember the three point contest?If he continues to drop those jaw-dropping threes like that consistently then there is no doubt in my mind that he will go down in history as the best three point shooter in the game of basketball.
Agreed, up to now.But, when it comes to who is the GOAT, there is very little disagreement as to who claims that distinction. Michael Jeffrey Jordan is on a different stratosphere.
Started watching basketball in the 1960s and even played some.Kids who started watching basketball in the 2000s might not get it.
Agreed.But many of us old heads know what he brought to the table.
Mpaka sasa hakuna timu yenye watu wenye miili midogo midogo kama GSW lakini wanavyowapa taabu miamba ya miraba minne mpaka inaleta raha.
Hall of Famer Barkley akionesha dharau alitabiri kuwa GSW hawatafika finali akidai nguvu zao ni za soda...well, he never reckoned with the magic Curry brings to the game! Anasahau kwamba wakimbana Curry, Thompson yupo, wakimbana huyo Green yupo, wakimbana huyo Barnes yupo na wakumbana na huyo Iguadala yupo na wote hao ni three point executors! Klay Thompson holds the most three pointers in a single quarter!Kuichukia GSW ni kujitakia magonjwa ya moyo tu maana kila kukicha utaiombea mabaya pasipo kufanikiwa.. Walisema u can never win on play offs kwa kutegemea 3 points ila baada ya Memphis kupigwa 3's za kutosha pamoja na miili yao sasa wanasema it's a shit team depending on 3's only to win games
Hall of Famer Barkley akionesha dharau alitabiri kuwa GSW hawatafika finali akidai nguvu zao ni za soda...well, he never reckoned with the magic Curry brings to the game! Anasahau kwamba wakimbana Curry, Thompson yupo, wakimbana huyo Green yupo, wakimbana huyo Barnes yupo na wakumbana na huyo Iguadala yupo na wote hao ni three point executors! Klay Thompson holds the most three pointers in a single quarter!
Hall of Famer Barkley akionesha dharau alitabiri kuwa GSW hawatafika finali akidai nguvu zao ni za soda...well, he never reckoned with the magic Curry brings to the game! Anasahau kwamba wakimbana Curry, Thompson yupo, wakimbana huyo Green yupo, wakimbana huyo Barnes yupo na wakumbana na huyo Iguadala yupo na wote hao ni three point executors! Klay Thompson holds the most three pointers in a single quarter!
Huyu jamaa utabiri wake si wa kuaminika hata siku moja. Hata Da Bulls alitabiri ni timu nzuri kuliko CAVS na hivyo wataitoa CAVS. Mie nilimshangaa sana na mshangao wangu ukawa kweli. Sasa hivi ushindani ni Western Conference atakayepita Western conference kwa maoni yangu ndiye bingwa wa 2014/2015 tena sidhani hata kama kutakuwa na haja ya kwenda mpaka game 7.
Huyo Charles Barkley ndio maana anapoteza mamilioni ya $$ huko kwenye ma-casino, Las Vegas kwenye gambling. He is always wrong, all the time!.
tehteh......#hatersgonnahate no matter how sensibly you reason with them...Kuichukia GSW ni kujitakia magonjwa ya moyo
It's pretty hilarious reading some comments, do they get a headache when they try to think? Obviously they don't produce very complex thoughts and result to coming up with out of topic issues when confronted with an argument (a common theme amongst hypocrites and ''much know wannabes'' people).tu maana kila kukicha utaiombea mabaya pasipo kufanikiwa..
....labda sababu ya unafiki ama ulimbukeni wao....GSW is not the only the Team that live by 3 and thrive by 3....Walisema u can never win on play offs kwa kutegemea 3 points ila baada ya Memphis kupigwa 3's za kutosha pamoja na miili yao sasa wanasema it's a shit team depending on 3's only to win games
I understand, if to you, that is all basketball entails; the end justifies the means. To me, I enjoy the elegance, the charm, the grace and the magic displayed in the execution by players like Curry.
He also happens to be the best shooter from the line...almost 90%.
No other dude comes even close
Agreed.
So far he holds the record...remember the three point contest?
Agreed, up to now.
Started watching basketball in the 1960s and even played some.
Agreed.
Walisema u can never win on play offs kwa kutegemea 3 points ila baada ya Memphis kupigwa 3's za kutosha pamoja na miili yao sasa wanasema it's a shit team depending on 3's only to win games
..point of addition...Only one difference, LeBron bulldozes his way, Curry maneuvers his way just like Pele did. There are players who wouldnt have gotten where they are except for their sheer brute strength. Of course Jordan was exceptional.
For the first time since Magic Johnson took an evolutionary leap for the position, we're witnessing the ultimate embodiment of the point guard. Not a shooter like Steve Nash, a passer like John Stockton, a defender like Gary Payton or a floor general like Isiah Thomas. Someone with the ability to do it all, excelling in each category while elevating everyone around him and then topping it the very next night:
Steph may end up the most popular player of his generation. Partially because he's so good at what he does. partially because he's a good person, and partially because most people see themselves in him. Lebron is otherworldly(a freak of nature). Steph feels like the local kid done good.I understand, if to you, that is all basketball entails; the end justifies the means. To me, I enjoy the elegance, the charm, the grace and the magic displayed in the execution by players like Curry.