NBA Season 2014/2015

They have the ability to provide stiff competition to GSW but their lackluster performance for few minutes here and there will cost them dearly. Let's wait and see if they'll be able to reduce turnovers.

Don't count em out...

It aint over yet...
 
Rockets refuse to go away 99-98
 
Harden should blame himself

what a waste

Kila mtu anamlalamikia Harden.. lakini kwanini Ariza alimrudishia mpira Harden?? Wakati alikuwa free kushoot and he's a good a shooter??

But Curry and Klay defense secure their win.. We need to steal one game at Houston to easy our way.. #StreightInNumbers
 
Ingeniuma kinoma kama tungepoteza hii.. 17 Points lead on Mid of 2Q and 7 Points lead with 2.20 minutes remaining..

It's time for Riley Curry now LOL

Washabiki wa Houston Rockets watakuwa na hali mbaya, maana timu yao haieleweki eleweki!

Mara wamekuja, mara wameondoka! Duh!
 
Washabiki wa Houston Rockets watakuwa na hali mbaya, maana timu yao haieleweki eleweki!

Mara wamekuja, mara wameondoka! Duh!

Alafu nahisi Harden game ijayo atakuwa na frustrations za kutosha.. Cha msingi GSW waingie strong na kutungua 3 nyingi kwenye First Half ili kuwapoteza Rockets
 
I thought it was Howard who returned the ball to Harden,

Maybe the game plan was for Harden to call the game
 
I thought it was Howard who returned the ball to Harden,

Maybe the game plan was for Harden to call the game

Howard returned the ball the Harden, Harden was covored so he pass it to Ariza who was free to shoot a 3 Point.. With 4 seconds left Ariza decided to pass it back to Harden.. Naona kabisa hapa option ilikuwa Harden hakuna aliyetaka kuangushiwa lawama and yap, Harden got it.. Mpaka amekuwa cursed na Lil B..

Hichi kitu kitamtoa nje ya mchezo Harden hasa kama game ijayo GSW watawatangulia kwa points on First Half..
 
You are right

Confidence ya Ariza ilishuka, but the big question I had ni kwamba what happened to JH?? bingwa wa kudraw fouls?? why didnt he draw one?
 
You are right

Confidence ya Ariza ilishuka, but the big question I had ni kwamba what happened to JH?? bingwa wa kudraw fouls?? why didnt he draw one?

He was too far from the rim and Curry and Klay defense helped a lot.. Pale wangemruhusu anyanyue mguu a move ndio ingekuwa shida..
 
Memorial Day weekend ndo hiyo ishatinga....long ass weekend.

Zaidi ya playoff games, bbq, na mengineyo, huko Vegas kesho kuna fights nzuri kwa wale wapenzi wa MMA.

Go Hawks!
 
Memorial Day weekend ndo hiyo ishatinga....long ass weekend.

Zaidi ya playoff games, bbq, na mengineyo, huko Vegas kesho kuna fights nzuri kwa wale wapenzi wa MMA.

Go Hawks!
How are the HAWKS going to stop the steam roller?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…