NBA Season 2014/2015


I still hope atakuwa fit for game 2.. labda atakaa nje for game 1
 
I still hope atakuwa fit for game 2.. labda atakaa nje for game 1

Klay is cleared to play game 1 of the NBA Finals, and he himself declared to be 95% fit as per Tuesday news, of which he thinks he will be 100% fit before the game!

So the battle is real, no blame of injuries. BTW coach Blatt says Kyrie's health is a day to day, I hope it is a mind game, I want the boy to be as health as he can be to battle it out with Splash Brothers.

On the other hand Bookmakers favor Curry to be MVP of the finals!
 

Good news indeed... The battle is real, tatizo la Kyrie alikuwa na injury miguu yote miwili. Isije ikawa ile ya TA akashindwa kuperform... Anyway we counting hours now, najua baada ya game 1 utatoa tathmini yako utakuwa upande gani
 
Huyu jamaa alikosea kidogo tu hapo kwa San Antonio;



Je atapatia katika hiyo fainali?
 
Kesho ni kesho!



bado tu masaa 32!
 
Speight "CoCo" naye ndani!



Karuhusiwa!
 
Hii njemba kwenye hizi playoffs imekuwa na contribution kubwa sana ambayo mimi sikuitegemea. They need him to perform at the same level or even higher in order to win their first NBA Championship in 40 years.

Hakuna anayemsahau, huyu hapa;




 
Hii njemba kwenye hizi playoffs imekuwa na contribution kubwa sana ambayo mimi sikuitegemea. They need him to perform at the same level or even higher in order to win their first NBA Championship in 40 years.
Siku akiamka vizuri huyo jamaa ni hatari kweli kweli.




Hapa ni mwaka 2013 akiwa na Denvers akipambana na Draymond Green wa Warriors
Alichukuliwa ili kumpunguzia Curry presha.
 
Reactions: BAK
Will the locomotive get stopped tomorrow?

We shall find out at 9PM Eastern live on ABC.
 
Reactions: BAK


Na hapa si mahasimu tena ni buddies!
 
Reactions: BAK
The good 'ol USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…